TTCL kuna unafuu wa tozo ya miamala ukilinganisha na kwingine

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
772
2,332
kutokana na tozo za kodi ya miamala, kampuni ya ttcl tozo yao, ni tafauti na makampuni menginine ya simu.
20210716_075948.jpg
IMG-20210715-WA0029.jpg
20210714_183153.jpg
 
Ni bora tu kutumia Banki kwa kweli, baada ya hii miamala ya simu kuja watu hawakuona umuhimu kabisa wa kufungua akaunti za benki.
Hayo ndiyo matokeo yake...tozo kubwa kuliko maelezo
Turudini benki jamani.
 
Mbona sijaona unafuu hapo kaka..mfano 300000 nilikuwa natoa kwa wakala ful kwa 4500...hapo ttcl kutoa jumla ni 8500 kama voda tu ...mana kuna fees ya kutoa kwa wakala plus kodi ya serikal inafika 8500 imeongezeka 4000 nzima kama wengine
 
Back
Top Bottom