Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano!. Bila shaka mu wazima na kama una tatizo kidogo au sana la kiafya, basi natamka uponyaji kuanzia sasa, UPONYWE
Kama kichwa cha habari...
Vodacom tunawaomba mfanye marekebisho kwenye upande wa m-pesa hasa commission tunazopata sisi mawakala n ndogo sana ukilinganisha na mitandao mengine.
Mfano:
1. Mpesa mteja akitoa shs200,000/=...
Habari wanajamii,
Huu ni ukurasa ambao utakua ni maalumu kwaajili ya kutoa taarifa na maarifa kuhusiana na matatizo yanayozikabili nchi nyingi za Afrika na njia mbalimbali ambazo zinaweza...
Sio rahisi kuupata utajiri kama una sifa hizi:
1. Kuguswa kwa dhati na matatizo ya wanaokuzunguka yaani ndugu, jamaa na marafiki maana wapo wengi mno kabla haujawasaidia wote tayari ushakuwa...
1. MAYAI YA KUCHEMSHA
mchanganuo wake uko ivi - ukiwa na mtaji wa elfu kumi 10000/= unatosha kuanza biashara hii ambapo trey ya mayai moja inauzwa 7500/= mpaka 8000/= , pia waweza nunua trey zile...
Wadau habari za majukumu?
Ninahitaji pikipiki ya mkataba ambayo nitarejesha elfu 70 kwa wiki kwa makubaliano ya muda ama miezi kadhaa baada ya hapo inakuwa yangu.
Kwa mawasiliano na maelezo...
Wakuu Salamu kwenu
Nipo Wilaya ya Ilemela kata ya Shibula katika Jiji la Mwanza
Sasa Nina laki 5 (500,000/-) je hii naweza kufungua biashara gani ambayo itanipa faida fresh na haitakuwa na...
Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷♂️ Eti ni kweli?
Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa
👩🏿🦲👩🏿🦲 Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa...
Wakuu habar zenu
natafuta mtu wa ku-share anaye eneo la kufanyia biashara
mm binafsi sina uwezo wa kukod fremu ya biashara na nikalipia pekeyangu
sasa naomba kama kuna mtu ana fremu ya biashara...
Wanachama wenzangu wa JamiiForums,
Naombeni msaada wa jinsi gani niweze kuanzisha biashara hiii na kuku wa aina gani wanafaa hasa hapa Jijini Dodoma na wezahitaji mtaji wa kiasi gani.
Ndugu walevi wa gadget,
Nimeamua kubadili upepo wandugu. Natoka kwa Mkorea kwenda kwa Mchina sasa. Akili yote ipo hapo kwa MI 11 Lite 5G. Tafadhali hii isichanganywe na MI 11 Lite. Hii...
Habarini wanajukwaa!
Natumaini kila mmoja wetu ni mzima wa afya, kwa wenye changamoto za kimaisha Mungu akawafanyie wepesi!
Hii ni barua ya wazi kwa walioko vyuoni, wanaotegemea kuanza vyuo...
✍🏿 SWALI KUU HIVI KWA NINI MO NA BAKHERSA WANAKUWA MATAJIRI WAO TU?
💧 MO na BAKHERSA ni binadamu kama sisi wana kila kitu tulicho nacho, walikuwa maskn kama sisi pengine mwanzo tuliwazidi...
NAIBU WAZIRI MHANDISI KUNDO AFUNGA KIKAO MAALUUMU CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA.
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amefunga kikao kazi...
Habari wakuu, nataka nianze kulipia matangazo kupitia Facebook sponsored page nataka nianze na dola moja au dola mbili kwani ndo uwezo wangu.
.
.
Msaada, je nianzie wapi? je ni kweli kwa dola moja...
Na Smartdunia
Ni dhahiri tangu tulivyofahamu maana ya neno muda, basi tumeshalitaja neno hili mara nyingi kiasi kisichohesabika.
Lakini pia ni jambo la kushangaza mno kwani wengi Bado hawajajua...
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao utafanyika Jumamosi Tarehe 07 August 2021 yenye Kauli...
🛣️ CHANGA MOTO ZA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO
✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile.
Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa...
Moja ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wateja wetu ni kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao halafu kukutana na kodi/ushuru mkubwa wa kutoa mzigo pale Bandarini, Uwanja wa Ndege au mipakani.
Bei...