Naibu waziri mhandisi Kundo, afunga kikao maalumu cha viongozi shirika la posta Tanzania

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
879
956
NAIBU WAZIRI MHANDISI KUNDO AFUNGA KIKAO MAALUUMU CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA.

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amefunga kikao kazi Shirika Posta Tanzania kilichoanza tarehe 2 hadi 6 augost katika ukumbi wa global hotel uliopo katika jengo la Benjemin Towel posta mpya jijini Dar Es salaam

Wakati akiwa anafunga kuna mambo muhimu ambayo ameyasititiza ikiwemo kufanya kazi Kwa bidii na Kwa ushirikiano.
Pia amewapongeza baadhi ya viongozi kwa kazi nzuri wanazozifanya na kutumia fursa zinazowazunguka

Amesema hatafurahia endapo miradi iliyoanzishwa ikija kuporomoka anachotarajia ni miradi kuwa endelevu

Ameesisitiza kuwa hapendi mfanyakazi kunyanyaswa na amesema wafanyakazi wawezeshwe ili kurahisishiwa kufanya kazi ili kuenda sawa na msemo wa twende zetu kidigital,

Alimalizia kwa kumpongeza Kaimu Posta Masta Mkuu Nd. Macrice Mbodo Kwa kazi nzuri anayoifanya na alipoitoa posta hadi hapo alipofikia.
 
Posta inakufa sasa wanapongezana kwa lipi?!!!
 
Back
Top Bottom