jovinjames
Member
- Aug 6, 2021
- 5
- 3
Wanachama wenzangu wa JamiiForums,
Naombeni msaada wa jinsi gani niweze kuanzisha biashara hiii na kuku wa aina gani wanafaa hasa hapa Jijini Dodoma na wezahitaji mtaji wa kiasi gani.