Mbunge Viti Maalum Vijana, Asia Halamga mgeni rasmi uzinduzi Vijana Jogging Kilimanjaro

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
877
955
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao utafanyika Jumamosi Tarehe 07 August 2021 yenye Kauli Mbiu "Amani Yetu, Maisha Yetu, Chukua Tahadhari Dhidi ya UVIKO-19"​


IMG-20210804-WA0241.jpg
 
Back
Top Bottom