Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wanajamii poleni na majukumu, nipo hapa Dar es Salaam hila natokea Mkoani Kagera ambako kuna wakulima wa Vanilla wengi mno na zao hilo limekosa soko. Wanakijiji wenzangu wamenituma niwatafutie...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari waungwana ningependa kujua ni wapi chimbo la vyombo vya mtumba vya majumbani kama sahani,vikombe ,jars za kuwekea maua,flampen na vyombo vingine kwa dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF? Nina mtaji wa Tsh Million 7 naweza kupata msaada wa kitaalamu wa biashara? Nimeona niulize pia kwa ushauri wenu kwa ambao mpo humu, naweza kuanzisha biashara gani pale Katoro...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
(shillings) [emoji910] NMB 8.18 trillion [emoji910] CRDB 8.13 trillion [emoji910] Stanchart 2.4 trillion [emoji910] NBC 2.1 trillion [emoji910] Stanbic 1.9 trillion [emoji910] DTB 1.3...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Baada ya uteuzi wa Waziri mpya, Wizara ya Viwanda na Biashara imeanzisha utaratibu wa kuanzishwa kwa Wakala wa Shopping Malls Tanzania na kwa kuwa nchi iliyopata maendeleo fedha haina thamani haya...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Naona ndugu zetu wanahangaika sana kutumia kuni, Je tutumie mbinu gani kupika Gongo tupunguze matumizi ya kuni?
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Waheshimiwa, Nauliza kama kuna laptop ambayo ni mpya kabisa kutoka dukani (sio used; yaani mimi niwe mtumiaji wa kwanza) kwa bei ya 400,000/- kwa Dar. Kama ipo, specifications zake zipoje?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, na ninahitaji kuanza biashara itakayokuwa inaniingizia kipato kipindi hiki nikiwa chuo, Nahitaji ushauri wenu wakubwa ni biashara gani itakayoweza kuniingizia kipato...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamii na wapambanaji wenzangu, Nimebahatika kupata banda la chuma kubwa (7x7) muundo wake ni ule wa kuwa na dirisha kubwa kwa mbele ambalo linafungukia juu hivyo nafasi ya kivuli ipo...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Binafsi naamini TECNO itakuja kuwa Kampuni kubwa Ya Smartphone, Kwamba watakuja kukaa meza moja na awa REDMI, REALMI, OPPO, NOKIA, SONY, SAMSUNG ila kwa Sasa sioni kama wana simu yenye quality ya...
19 Reactions
210 Replies
25K Views
habali ndugu naitaji kazi nipo dar kama usafi kutoka na magali konda wa magali ya shule bandalini usafi kusimamia nyumba bustani duka nk zakwenda na kulud
1 Reactions
8 Replies
940 Views
Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nina wazo ambalo nadhani nahitaji msaada zaidi wa kuongeza ufahamu nina kibanda tayari na kuna biashara kadhaa naendelea nazo kama mpesa ila kibanda kiko wazi nimepata wazo niweke shelf kisha...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habarini za asubuhi wadau, Leo nikiwa njiani kuelekea kibaruani nikasikia kwenye radio kwamba sasa Serikali imeamua kuagiza mafuta yenyewe moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji. Nikajiuliza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TECNO today announced that its latest smartphone to release in November TECNO CANOM 18 Premier has received two new internationally recognized TÜV Rheinland certifications respectively for Low...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Thread hii imeanzishwa mahususi kwa ajili ya traders ambao wana trade katika masoko ya kifedha duniani(Forex, Stocks, Commodities, crypto currencies etc) waonyeshe analyzed trade Setups ambazo wao...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kujua ni vitu gani vya kufungasha from Dar to kusini na inaitaji mtaji wa kuanzia kiasi gani?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau wasalaam Nimepata tenda ya kupleka Ngombe na Mbuzi Zanzibar kutokea Dar es alaam. Naomba ushauri njia ipi nayoweza tumia kusafirisha mifugo(ikiwa hai) na pia kusafirisha kama nyama ikiwa...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
Salaam wadau, Naulizia machimbo ya vifaa vya keki kwa Bei ya jumla, Dar es Salaam.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu mimi sio mwandishi mzuri sana ila nitajitaidi kidogo kuandika kwa ufupi ili niweze ku share nanyi jambo lililonikumba mwaka jana 2020. Katika haya maisha kuna mambo tunapitia...
30 Reactions
61 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…