Wakuu leo nimeona niandike uzoefu wangu mdogo kwenye hii biashara ya duka la nguo. Huenda ikamsaidia mtu fulani humu atakayesoma uzi. Kwanza kabisa hii biashara sikuwahi kuota ipo siku nitaifanya...
Ninaomba kujuzwa wanajf wenzangu, je ni nafaka aina gani zinaweza kuwa na soko zuri hapa mjini Dar? Na je ni mtaji kiasi gani naweza kuanzia nao? Natanguliza thanks.
WADAU WANAOHITAJI MIONGOZO...
Kaa chini kwa dakika chache na utafakari maisha.
Fikiria watu uliowahi kuwaona wakifanikiwa sana — leo hawapo tena.
Fikiria wafanyabiashara waliotikisa miji kwa utajiri wao — leo majina yao...
TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika.
Kuna jambo la kutisha linaloendelea sasa hivi: Vijana wa Kitanzania na Waafrika kwa ujumla wanalegezwa taratibu na mambo...
Mjadala kuhusu mikopo ya vijana inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Vijana umeendelea kushika kasi, huku wadau wakitoa maoni yanayolenga kuboresha ufanisi na upatikanaji wa fursa hizo. Moja ya...
Wana JF, najua tuna wafanyabiashara wengi sana humu JF, leo natamani tujadili kwa kina matatizo yanayowakumba wafanyabiashara na wajasiriamali wengi sana nchini. Kwa upande wangu suala zima la...
Natafuta mdada au mkaka mwenye duka au biashara inayofanya kazi kwa angalau miezi 6 na biashara hiyo iwe na lesen halali.
Nina nyumba ambayo niko tayari kuitumia kama dhamana kwa ajili ya...
Watu wengi wanaangalia bei ya kiwanja na location tu, lakini wanakosa kitu muhimu sana — majirani.
👉 Majirani wazuri = Amani, usalama na maisha ya furaha
👉 Majirani wabaya = Stress, kelele na...
Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii
wafanyabiashara...
Hello Family JF Family members! It's been a while, kwa wale wanaonifahamu humu nimekuwa member toka 2023 nadhani, kipindi bado najitafuta mimi ni nani na hadi leo hii nipo katika hatua nzuri...
Habari mawinga wa kariakoo.
Kuna wazo nimepata la, ecommerce ila kwa njia ya WhatsApp Business, ambapo mteja anatafuta bidhaa husika mfano pazia na kukutana na mawinga wa hiyo bidhaa, winga wenye...
Habar wakuu,
Juzi hapa nimefungua Paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.
Je...
Kuna watu wanasema mtu asubiri hisa ishuke kwanza ndio anunue mfano kama hisa ya CRDB ikiwa 1500 mtu anasema ngoja ishuke tena iwe chini ya 1000 ndio anunue , swali la kujiuliza je isiposhuka tena...
✅ Tanga Cement (TCCL) – Faida ya 93%
Hisa ya Tanga Cement iliongoza kwa ongezeko kubwa la thamani, ikipanda kwa asilimia 93 mwaka 2024.
✅ KCB Bank (KCB) – Faida ya 108.57%
Hisa ya KCB Bank...
Guys,
Naomba kufahamu namna ya kufuta historia mbaya ya mikopo CRB hili suala limekua linanigharimu sana nikihitaji kukopa taasisi nyingine za kifedha naambiwa Nina madeni sugu kwenye line zangu...