Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

guest-1788672427
Aliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao, Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi, Nataka kununua mahindi, niweke...
13 Reactions
54 Replies
2K Views
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano)...
22 Reactions
166 Replies
26K Views
Mambo ya kufanya miezi 6 iliyobakia ili kufikia malengo yako • Chukua uwajibikaji wa 100% juu ya maisha yako. Acha kabisa kujitetea na kulalamika. • Tumia muda ukiwa peke yako, soma, andika na...
5 Reactions
9 Replies
358 Views
NATAFUTA VIWANDA VYA KUKAMUA MAFUTA YA ALIZETI NA SOYA (CRUDE OIL) Natafuta viwanda vyenye uwezo mkubwa wa kukamua mafuta ghafi (Crude Oil) ya alizeti na soya kwa kiwango cha kibiashara...
1 Reactions
1 Replies
263 Views
Habari za muda huu wana jukwaa? Mimi ni mjasiriamali mdogo naji husisha na biashara ya mvinyo halisi wa Dodoma. Nina lita 3000 za mvinyo ninazo ziuza kwa bulk PURCHASES only Mvinyo huu una umri...
9 Reactions
12 Replies
403 Views
Haya mambo ya biashara hayana kanuni inayoeleweka. Siku za karibuni kuna jamaa yangu kaanzisha biashara ya kuku wa kienyeji ila ufanyaji wake wa biashara ni wa kushangaza sana. Kwanza bei zake ni...
5 Reactions
8 Replies
389 Views
Kama wewe ni mfanya biashara, zalisha bidhaa mwenyewe au ongeza thamani kwa namna moja au nyingine au toa huduma ( services) na sio kufanya uchuuzi.uchuuzi ni ujinga haukupeleki popote. bora...
6 Reactions
9 Replies
218 Views
Habari wananzengo, Nataka kusafirisha mzigo kwenda Namibia kwa njia ya basi/gari maana ni kama kilo mia sita hivi, je nafanyaje? Msaada tafadhali
1 Reactions
1 Replies
133 Views
Mnamo Aprili 13, 2026, kampuni ya Orca Energy iliyoendesha vitalu vya gesi vya Songosongo kwa takribani miaka 25 ilitangaza kuwa imefikia uamuzi wa kuuza biashara yake ya gesi Tanzania kwa...
1 Reactions
23 Replies
554 Views
🚗 OBDII Scanner – Chunguza Gari Lako Kitaalamu! 🔧 Unapata shida kujua tatizo la gari lako? Suluhisho ni hii OBDII Scanner yenye uwezo wa kusoma na kufuta error codes kwa haraka na usahihi 💯 ✅...
1 Reactions
1 Replies
202 Views
Wakuu, leo tarehe 04/06/2026 nimenunua maji ya Afya (Special) dukani. Kabla sijayatumia, niliyatikisa kidogo ili niyaangalie vizuri, na nilichokiona kilinishangaza. Ndani ya maji kulikuwa na...
1 Reactions
1 Replies
103 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi. 1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii...
25 Reactions
430 Replies
24K Views
Jamani nimekuwa nikisikia malalamiko kuwa forex ni mchezo au scam bussiness ila kuna video nimeiona Utube katika pita pita ikizungumzwa na huyu bwana ambae ni afisa wa kampuni ya pepsi akitoa...
2 Reactions
23 Replies
435 Views
Habari, Nahitaji machine ya kukunia nazi kwa ajiri ya biashara ya genge, Nipo Dar ,mabibo Naomba kujua wapi nitapata na Bei yake , Asante
4 Reactions
7 Replies
236 Views
RE: OFFER FOR SALE OF PRIME COMMERCIAL PROPERTY LOCATED AT VICTORIA PLACE - TANZANITE PARK AREA, DAR ES SALAAM I am writing in my capacity as a real estate agent acting on behalf of my client...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
NItakupa sababu mbili muhimu kwanini usitumie kadi yako ya TIGO mastercard kununua vitu online. 1. Hii kadi wameunganisha mojamoja na akaunti ya Tigopesa, hamna control ambayo mteja unakua nayo...
25 Reactions
90 Replies
14K Views
Ilikua safari ndefu sana. Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia . Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
22 Reactions
91 Replies
2K Views
Back
Top Bottom