Nipo Morogoro.
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ina maeneo ya biashara ambayo wafanyabiashara wadogo hupanga kwa gharama ya shilingi elfu hamsini. Hata hivyo, maeneo hayo yamechukuliwa na...
Sekta ya 𝗠𝗦𝗠𝗘𝘀 nchini Tanzania ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wetu, lakini pia ndiyo sekta inayobeba kiwango kikubwa zaidi cha “𝗰𝗮𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹 𝗺𝗼𝗿𝘁𝗮𝗹𝗶𝘁𝘆” — yaani kufa kwa biashara na kupotea kwa mtaji...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
Nataka kufanya biashara ya juice,hii ya kutengeneza,matunda ya embe na nanasi,nawapa wadada wanaenda kuuza maeneo kama masokoni na...
Vibanda biashara vya kisasa 🔥
Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi.
Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao...
ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO
Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
Biashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na...
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (kushoto) na aliye kulia kwa Mbunge Deo ni ambaye amevaa shati jeupe lenye roman collar ni Askofu wa jimbo katoliki...
Wakuu, huduma ya M-KOBA inayotolewa kupitia kampuni ya mawasiliano ya VODACOM imekuwa maarufu miongoni mwa watumiaji wake hasa makundi ya watu wenye malengo mbalimbali kama vile kusaidiana katika...
Habari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
Blackberry zilikuwa simu pendwa sana miaka ya 2000. Kila mtu aliyekuwa akimiliki simu hizo alionekana kuwa wa kishua au mtu mwenye hela.
Zilikuwa simu nzuri sana kiasi kwamba Nokia naye akaamua...
Wakuu, ni biashara gani mtu anaweza kuanzisha ndani ya miezi 6 hadi mwaka, akiwa na kipato cha Shilingi laki 3 kwa mwezi, ambayo akijitahidi ina uwezekano wa 95% ya kufanikisha au kuboresha maisha...
Katika kipindi hiki ambacho gharama za maisha zimeongezeka kwa kasi, vijana wengi wamejikuta wakikata tamaa, wakiamini mafanikio ya kiuchumi yanahitaji mtaji mkubwa, connection au bahati ya...
Gavana wa Bank Kuu Tanzania Emmanuel Tutuba
Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya fedha za kidijitali maarufu kama cryptocurrency yameongezeka duniani kote. Watu wengi wamevutiwa na...
Wadau wa Jamiiforums mnipe MBINU na njia sahihi ya uendeshaji wa Microfinance. Eli Mimi na wateja wangu wote tufaidike, wao wapate mkopi nafuu wenye kutimiza malengo yao, na Mimi nipate japo...
Unaenda Brela unafungua kampuni kwa kupeleka documents zote, unafika TRA kuchukua TIN Cert wanataka tena Documents ulizopeleka Brela.
Wakati huo tayari mfumo wa Brela umewataarifu kuwa kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.