Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,506
- 7,472
Hii biashara sasa tatizo la umoja kwa wamiliki wa semi linaanza kuzaa matunda moaka madalali wanaanza kufanya unyonyaji kweli DRC Transit dalali anataja bei dola 4000 wakati Lusaka transit bei yake dola 4500
Madalali wameshaharibu sana rate za usafirishaji kwa nchi yetu nawapa hongera wazee ambao hawawategemei madalali
Madalali wameshaharibu sana rate za usafirishaji kwa nchi yetu nawapa hongera wazee ambao hawawategemei madalali