Uwekezaji katika sekta ya Gesi na Mafuta

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Habarini business moguls!

Tupeane information kuhusu uwekezaji katika sekta hizo mbili, nini kinahitajika, faida na hasara zake ( changamoto) kwa ujumla!

Na je kuna project gani zilizopo recently tanzania katika sekta hizo mbili ( gesi na mafuta), ambazo zinahitaji uwekezaji, na vipi kama mtanzania anaweza kuwekeza katika sekta hizo?
 
1st seat
But hapo ni sekta moja nasio mbili
 
Back
Top Bottom