Acheni kuwapiga ng'ombe mnapowaswaga mnaharibu ubora wa nyama pindi wanapochinjwa

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Wafugaji wengi hupenda sana kuwachapa ng'ombe wanapowaswaga.

Hii imesababisha pindo ng'ombe wanapochinjwa kwa ajili ya nyama kuharibu ubora. Hivyo nyama nyingi sehemu ya fimbo zilipotua huwa inatupwa. Nyama ya mbavuni, mguu wa nyuma na mgongoni zimeathirika sana na fimbo.

Mnaharibu soko na pia ni hasara.
Soko la kimataifa hasa Mauritius hawataki kununua ng'ombe wa kutoka Tanzania kwa sababu hii.
Tuheshimu mali inayotuingizia kipato jamani.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Hasa wakipandishwa kwenye gari tayari kwa safari wanachapwa mno
 
Hasa wakipandishwa kwenye gari tayari kwa safari wanachapwa mno
Wewe usingekuwa liccm ungekuwa bonge la mwanamke ila nakudharau kwasababu ni liccm hata ule uzi wako wa katuni siusomagi kwasababu hiyo.
 
Back
Top Bottom