mgani da prince
Member
- Jan 6, 2018
- 23
- 13
Ndugu, kwa wenye experience na biashara ya kumpa mtu boda akufanyie kazi, inalipa kwa Dar?
Kama boda ni yako na unapiga kazi mwenyewe full raha...cha msingi tuuu uzingatie usiwe unapenda mbususu...maana kwenye hii biashara kupata mbususu ni kitu easy kinoma


