Naombeni elimu kuhusu feldspar na tabia za mikanda yake

Loudspeaker

Member
Feb 8, 2021
88
107
Hello wana Jamii forums,,,

Kwanza nianze kwa kuwasalimu,,na kuwapa pole kwa mihangaiko ya hapa na pale...Kwa kifupi mimi ni kijana mpambanaji,,nina deal na uchimbaji wa feldspar huku maeneo ya Gairo mpaka Kilosa,,kote huko nimejitahidi kushika maeneo ambayo mikanda ya feldspar imepita...Nimefanikiwa kuwa na migodi sita so far inayoonesha uwepo wa madini hayo,,ila so far nishachimba mmoja ila haukuniletea mafanikio yale niliyoyatarajia,,ulinipa funzo kubwa sana..

Maana nilikula hasara kubwa sana na ukiangalia bado kijana mdogo wa miaka 29 tu,,main sponsors kwenye hizi hustle zangu ni mama yangu na Aunty yangu mpwenda ambae amekuwa akiniamini tangu nipo shule....Kusema kweli kupoteza kwenye huo mgodi wa kwanza kulinivunja sana nguvu ya kuendelea na uchimbaji,,,nilitaka ku give up koz nilipoteza over 60m,,,40m ikiwa ya Aunty,,20m ya bimkubwa...Kusema kweli niliona kama dunia imenielemea,,maana huo mgodi mwanzo ulikuwa unaonesha ishara nzuri kabisa,,na ulishaanza towa mawe,,,ila mkanda haukuwa endelevu....

Na mawe yalikata since mzozo fulani pale mgodini kuibuka na kuanza kutishiwa mgodi kurogwa...Kusema kweli huo mgogoro haukupaswa unihusu maana ulikuwa mgogoro kati ya kijiji na kijiji wa kugombania mpaka,,ule mgodi ni sehemu ya rasilimali iliyokuwa ikigombaniwa,,,kusema ukweli mgodi ulikuwa mzuri sana na ulianza towa mawe mazuri sana,,,na nilishaanza kuona nuru ya maisha mbele yangu,,ila tangu yule mwenyekiti wa kijiji ambacho kimsingi mgodi wangu hakuwa kule,,baada ya kuona anashindwa akaapa kuuroga mgodi,,na akasema,” tuone kama mtakuja towa mawe hapo” siku anayonitamkia alibeba sample kidogo ya mawe,,akaondoka nayo,,tangu hapo kila nilipokuwa naliza moto,,natoa mchanga mweupe tu,,,mawe yanachungulia ila ukifanya jitihada ya kuyafikia unakuta kwa ndani mabovu...

Kusema kweli nilijitahidi kutokukata tamaa,,na bimkubwa alijaribu sana kunisihi kutokukata tamaa,,,mpaka nikapeleka excavator kwenye huo mgodi,,mwezi mzima excavator ipo pale tunapambana,,ila wapi,,,kusema kweli wale wachimbaji wenzangu watakuwa wananielewa...too much stress,,,ule mgodi nikaachana nao,,sasa nataka niende kwenye mgodi mwingine,,,survey nimefanya mgodi unatoa ishara nzuri,,ila sasa kabla sijaanza kujikita kwenye kuuchimba,,nimeona sababu kwanza ya kutafuta elimu kuhusiana na hii mikanda,, hususa ni ya feldspar....Naombeni niwasilishe ilo swala hapa jamvini,,,kwa yoyote mwenye elimu kuhusu ili swala naomba msaada maana natagemea sana kazi hii ije kuniletea mafanikio
 
Feldspar:
1. Hizo feldspar unazochimba ni za aina gani? Art stones au gem?
2. Una soko la hayo madini unayochimba?
3. Kwa 60m uliyozika, ungeweza kununua kwa watu kwanza kama una soko lake na uchimbaji ukafanya baada ya kupata ujuzi
 
60 M si unaajiri Geologist kabisa kwa mshahara wa 700k per mouth anakusaidia vizuri kuendesha mgodi wako?

Kwa haya maGemstone wamuhimu ni Geologist Ila kwenye metal Kule ni lazima wawepo na MaEngineer
 
Mimi mwenyewe geologist pia,,,na ofkoz nilikuwa na geologist pia wa mikanda ya feldspar,,,geologist asiejua mikanda ya feldspar ni sawa na mzigo tu,,,hii mikanda ina tabia tofauti,,,
 
Nataka mtu mwenye experience ya hii mikanda aliefanya kazi ya uchimbaji wa haya mawe...that’s my targeted audience,,,unadhani ni geologist yoyote tu can do that work???
 
Back
Top Bottom