Maosheo ya dhahabu

Maosheo ya dhahabu

Crush na diesel engine hapo wastani wa sh 8mil mpaka10mil. uchimbaji na usakafiaji wa mashimo ya kuoshea na kupembulia itategemeana na mahali ulipo bt wastani uwe mil 2.5,kajumba ka kuhifadhia vifaa mil 1 tu but itategemeana na uwezo na size uitakayo.madiaba,karai kama laki 2.5, mbao za kuoshea mbao 1 wastani wa sh 80 elf,mercury pia, tenga pesa ya usafiri,chakula na mengineyo pia. N.b sina kazi kama vipi nipe mchongo.
 
Asante kwa mchanganuo kaka hapo nmepata picha kidogo vp we unauzoefu na hii biashara
 
Mwenye shamba naomba nikushukuru kea mara nyingine tena ndugu yangu asante sana kea tathmini hii imensaidia sana,pia na jambo naomba niongeze hapa HV uchimbaji wa kikole ukoje na uchimbaji wa mwamba ukoje
Crush na diesel engine hapo wastani wa sh 8mil mpaka10mil. uchimbaji na usakafiaji wa mashimo ya kuoshea na kupembulia itategemeana na mahali ulipo bt wastani uwe mil 2.5,kajumba ka kuhifadhia vifaa mil 1 tu but itategemeana na uwezo na size uitakayo.madiaba,karai kama laki 2.5, mbao za kuoshea mbao 1 wastani wa sh 80 elf,mercury pia, tenga pesa ya usafiri,chakula na mengineyo pia. N.b sina kazi kama vipi nipe mchongo.
 
Uchimbaji wa dhahabu kwa huku geita(naamini pia kwa maeneo mengi hapa tz) hufanyika kwa namna mbili hususani kwa wachimbaji wadogo. 1.kuchimba/uchimbaji wa vikole;huu ni uchimbaji wa kina kifupi (sana)ambao kwanza hauhusishi gharama kubwa.kwenye uchimbaji wa vikole dhahabu hupatikana humo humo shimoni au kwa kupima ule mchanga kwa kipimo na unachukua dhahabu yako ikiwa tayari kwenda kuuzwa.ila aina hii ya uchimbaji haina faida sana kwa mtu aliyeamua kuwekeza kwenye dhahabu. 2.uchimbaji wa sampuli au mkanda, huu sasa ndo uchimbaji wenyewe maana hapa mpaka kuipata dhahabu unapitia hatua nyingi na ndo huko karasha lako litakapotumika,makapi pia unauza au kuozesha.sio mzuri wa kuandika kaka sorry kwa maelezo mafupi yasiyokidhi
 
Uchimbaji wa dhahabu kwa huku geita(naamini pia kwa maeneo mengi hapa tz) hufanyika kwa namna mbili hususani kwa wachimbaji wadogo. 1.kuchimba/uchimbaji wa vikole;huu ni uchimbaji wa kina kifupi (sana)ambao kwanza hauhusishi gharama kubwa.kwenye uchimbaji wa vikole dhahabu hupatikana humo humo shimoni au kwa kupima ule mchanga kwa kipimo na unachukua dhahabu yako ikiwa tayari kwenda kuuzwa.ila aina hii ya uchimbaji haina faida sana kwa mtu aliyeamua kuwekeza kwenye dhahabu. 2.uchimbaji wa sampuli au mkanda, huu sasa ndo uchimbaji wenyewe maana hapa mpaka kuipata dhahabu unapitia hatua nyingi na ndo huko karasha lako litakapotumika,makapi pia unauza au kuozesha.sio mzuri wa kuandika kaka sorry kwa maelezo mafupi
Usjali kaka umeeleweka
Kwahiyo dhahabu ya kikole haihitaji kusagwa ni kuuza moja kwa moja ni sawa na dhahabu ya vipande
 
Habari ndugu zangu naomba msaada wa tathmini ya kukamilisha mwalo wa dhahabu nahitaji niwe na nini na nini

Inategemea unataka aina gani ya mwalo? Unataka mwalo bubu au mwalo wa kuwa na crusher?
Ukinijibu hapo naweza kupa miongozo mzuri maana nimewahi kufunga crusher sehemu moja wanapaita saza na pia nimewahi kuwa na mwalo bubu singida sehemu inaitwa sekenke shelui huko na pia nimechimba sana mikoa mingi kama geita ,tanga ,iringa, moro , katavi n.k
 
Hivi........
Hii biashata ya uchimbaji, uchenjuaji hadi dhahabu, mnaiona rahisi eeehhhh...??
Yaani mnadhani hii ni biashara ya kuja na kusimuliana kwenye mitandano na kuandinda kwenyw makaratasi ya tissues eeehhhh...??
Haya bana, tatizo mmezowea kupuuza ninapo washauri wakati nimelewa..
 
Mwalo WA kuwa na crusher
 
Wakuongeze bia mkuu.....halafu weka pozi endelea kutazama hili movie
 
Nina millioni kama 25 hv, kuna mtu kanambia kuna kama hekari 25 za group lao huko geita bado wanasubiri leseni.

Nachotakiwa kutoa kama m3 hv ili leseni itoke waniweke kama mwanachama mwenzao.

Vipi wataalam kwa kiasi hicho ntaweza kweli kutoboa au hela bado ndogo?
 
#mkwepujr #mwenye shamba
Njoon huku mtusaidie
 
Nina millioni kama 25 hv, kuna mtu kanambia kuna kama hekari 25 za group lao huko geita bado wanasubiri leseni.

Nachotakiwa kutoa kama m3 hv ili leseni itoke waniweke kama mwanachama mwenzao.

Vipi wataalam kwa kiasi hicho ntaweza kweli kutoboa au hela bado ndogo?

Unaweza mkuu
 
Back
Top Bottom