Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mkombozi Commercial Bank Plc imetangaza gawio la TZS 100 kwa kila hisa kwa wanahisa wake kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 31 Desemba 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni, gawio...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Submeter za kisasa kata Umeme na Electrical Installation.
1 Reactions
39 Replies
2K Views
  • Redirect
Tujulishane kama una magari mabovu, chuma, copper, brass, alluminium, cast, betri mbovu ya gari nk... Tuko Mikocheni aDar es salaam. Pesa yako unalipwa hapohapo, bei zetu ni nzuri. ‎ ‎Wakuu...
0 Reactions
– Replies
– Views
Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Watu wengi hufanya kazi kwa bidii ili kupata pesa, lakini si wengi wanaojifunza jinsi pesa zinavyofanya kazi. Moja ya misingi muhimu kabisa ya kujenga utajiri ni kuelewa tofauti kati ya Asset na...
0 Reactions
5 Replies
337 Views
Please find readvertised Karibu House Manager Position in Mbweni. Submit application by June 14th. Karibu
0 Reactions
0 Replies
72 Views
1. Utangulizi Hisa Kiganjani ni mfumo wa kidijitali wa Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) unaomwezesha mwananchi kuwekeza katika masoko ya mitaji kwa kutumia simu ya mkononi, kompyuta au huduma ya...
2 Reactions
0 Replies
659 Views
Kwangu mimi mishe ambayo niliwahi kufanya ilikuwa ya kuzibua vyoo back in the day Kwa siku dili ilikuwa ikitiki niliokata mpaka 80k
7 Reactions
32 Replies
650 Views
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na kuenea kwa elimu ya fedha, kwa sasa Watanzania wengi wamehamasika kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam Stock Exchange (DSE). Cha...
16 Reactions
95 Replies
3K Views
Kwenye suala la biashara ni kugumu sana jamani, kuna watu wanaanza biashara zinashindikana licha ya jitihada ila ngoma inagoma kwenda mpaka mtu anasema isiwe tabu anaamua kufunga. Wengine ni...
5 Reactions
19 Replies
619 Views
Anonymous
Mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu imeanzishwa kwa lengo jema, hasa katika kipindi hiki ambacho changamoto ya ajira imekuwa kubwa nchini. Mfumo huu umekuwa msaada muhimu kwa wengi...
1 Reactions
1 Replies
193 Views
Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu". Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama...
2 Reactions
11 Replies
182 Views
  • Poll Poll
Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa...
3 Reactions
3 Replies
853 Views
Mkopo wa Sh. 100,000 — Hesabu Halisi Pasaka hii nilikuwa napiga story na baba mdogo wangu huku kigamboni kuhusu mikopo “kausha damu”. Alipata mkopo wa Sh. 100,000 kwa muda wa siku 30, na malipo ya...
4 Reactions
8 Replies
577 Views
Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO. Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao...
4 Reactions
3 Replies
248 Views
Habari za leo wakuu, Mimi ni kijana wenu mhangaikaji. Leseni yangu ya biashara ya hardware imefikia ukomo, na nilihitaji kuirudia kupitia Tausi Portal. Changamoto niliyonayo ni kuwa sioni sehemu...
3 Reactions
12 Replies
6K Views
"Vijana wa makamo,kipindi cha pili kinakaribia kuanza " TUPEANE RAMANI YA ZILE KAZI AMBAZO ZINAZALAULIWA LAKINI ZINAE KIBUNDA
3 Reactions
31 Replies
660 Views
Lead generation is hard, Offer creation is hard, Sales and closing is hard, Showing up on social media daily is hard. Do you know what is harder? Not leveraging on Facebook and Instagram ads.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu...
2 Reactions
4 Replies
278 Views
Back
Top Bottom