Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za leo wanaJF Mimi swali langu la leo nalielekeza kwenye sector ya mikopo midogo midogo maarufu kama microfinance. 1. Je kwa Tanzania tuna aina gani za microfinance institutions? N 2. Ni...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, naomba kwa yeyote mwenye kujua chimbo/sehemu panapouzwa vifaa/spare za pikipiki za mchina Kama SAN LG, HAOUJUE NA SINORAY kwa bei ya jumla na bei rafiki tafadhari naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu,nauliza naweza kutoa pesa niliyotumiwa western union Kwa namba ya nida Tu bila kitambulisho chenyewe kuwa nacho mkononi? Shukran
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Hesabu hazidanganyi.. Mwaka 2011 bei ya Bitcoin ilikua around 1usd per coin. Sasa tuchukulie nchi ya Tz ingetoa walau 200mil na kununua bitcoin (badala ya kumnunulia DED au DC v8 la kutembelea)...
10 Reactions
62 Replies
7K Views
Kumekua na malalamiko mengi kuhusu huduma mbaya kwa wateja hasa kutoka kwa mashirika ya Umma, na leo nimekutana na hili, ninafikiri kushare hizi experience na kama wahusika wanaona basi iwasadie...
6 Reactions
172 Replies
21K Views
Kwa wale ambao wanahitaji mikopo au wanaofanya shughuli zao kwa kutegemea facilities za Mabenki kwa kweli hili jipu linahitajika kuangaliwa upya. Kwa hapa nchini ukiangalia Prime Lending Rates...
10 Reactions
200 Replies
23K Views
Msaada ndugu Mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni? How is Authorised share capital calculated?
1 Reactions
7 Replies
879 Views
Katika ulimwengu wa biashara, ni kazi ngumu kuifanya biashara idumu na kukua kuliko kuianzisha hata kama ulianzisha kwa mabilioni ya pesa. Biashara nyingi huanzishwa kila siku na biashara nyingi...
6 Reactions
27 Replies
6K Views
Wadau naomba Msaada wa Ushauri juu ya Biashara ya MPESA 1. Mtaji kwa kila Mtandao 2. Bidhaa za kuchanganya na Mpesa 3. Faida na Hasara 4. Changamoto zake
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
MRADI WA RELI YA KISASA (SGR) MOTO NI ULE ULE Fact Teller Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kudhihirisha Umahiri wake katika kuhakikisha Mradi wa Reli ya Kisasa SGR haulali [emoji579]...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi, nahitaji kuwasiliana na mtu wa ndani wa TANESCO, nina project/innovation nataka kushirikiana nao. Najua JF ni kubwa na nitaweza kuunganishwa nae. Naogopa VISHOKA wanaoweza kuiba idea yangu...
0 Reactions
3 Replies
492 Views
Aisee kama wewe ni msafiri kati ya JNIA (Dar) na ama Kilimanjaro (KIA) au Mwanza (Kwa Mbeya PW ameshachemsha na haendi tena). Utakuwa ume-note jinsi hawa Precision (PW) wanavyopelekwa mputa mputa...
10 Reactions
83 Replies
17K Views
Habari zenu na poleni na majukumu wadau wa hili jukwaa,me naomba mawazo yenu juu ya hii biashara kuna jamaa zangu wapo nje (dubai na china) sasa wamenishauri niwe nashirikiana nao wawe wananitumia...
3 Reactions
53 Replies
29K Views
Wakuu za muda huu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, je inawezekana? NATANGULIZA SHUKRANI WENU MstahikiMeya
0 Reactions
29 Replies
18K Views
Naombeni kama kuna mtu alieko South Africa kuna kitu nahitaji huko cha Tsh 1,000,000 ila kutokana na kutoaminiana naomba alipie kabisa anitumie nikikipata nitamlipa na Faida juu. Kama unaweza...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari za weekend wana jr, I hope mpo poa. Wajuzi wa haya mambo naombeni msaada wenu, ni wapi naweza change Bahrain Dinar to Tanzanian Shillings? Nimejaribu kwenda bank zetu za humu ndani lakini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums Mimi ni kijana ninae hitaji kufungua kampuni ya upimaji viwanja. Kitaaluma Mimi nimesomea ualimu na nimehitmu mwaka huu (2018). Hivyo sina ujuzi wala uzoefu na kazi hii...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Juzi kati apa nilipata wazo zuri sana kwenye hii industry ya malipo ya mtandaoni. Na ningependa kujua ni sheria gani natakiwa kupitia au natakiwa niwe na kitu gani ili niweze kuanzisha mfumo huo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa Mimi ni mjasiliamali nipo moro nauza viazi rejareja nilikua naomba Kwa wafanya biashara wakubwa wanaopeleka dar viazi niweze kupata mawasiliano nao wanipitishie hata gunia tano hapa Moro...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…