Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
231
Posts
7.2K
Threads
231
Posts
7.2K

JF Prefixes:

Wadau naomba mawazo,,ni shughuli Gani naweza kuwekeza 20 million ikawa inanipa faida ya 2million kwa hapa Dar au kwingineko? Ushauri ndugu kwa usoefu wenu
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Habari wa jf Kuna mtu yoyote mwenye idea au kufahamu kuhusu biashara ya mifupa ya samaki, ngozi na mabaki mengine, maana kuna mahali naweza kupata zaidi ya tani 5 kwa siku. Naomba mwenye uzoefu...
1 Reactions
1 Replies
102 Views
Moja kwa moja twende kwenye mada Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga...
21 Reactions
253 Replies
62K Views
Habari wadau wa JF Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu eti hizi kampuni au app za mikopo Mtandaoni zina uhalisia kweli wa kutoa mikopo, kuhusu usajili wao, na kampuni au app ya mkopo ipo vizuri na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Leo nimeona nilete mjadala mdogo kwa ajili ya wale ambao wanatamani kuazisha biashara ila...
1 Reactions
4 Replies
938 Views
Nakodisha mashine ya kusaga, ina vinu viwili cha kusaga na kukoboa pamoja na mizani Stoo yaani biashara yote, mahali Kitunda Magole DSM. Sehemu haina mashine jirani. Bei 200.000 kwa mwezi...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Ni Tukio nisilo weza lisaau kamwe kwenye safari ya Maisha yangu ya kuisaka Elimu Na natamani siku moja Dr Alex Malasusa akipata nafasi ya kukutana nami au kama anayo nafasi kupitia hapa Jamii...
5 Reactions
14 Replies
653 Views
Wakuu habari? Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida...
1 Reactions
8 Replies
326 Views
Hello wana bodi, natumai wote mko poa karibuni kwenye hii thread ambayo kwa namna 1 au nyingine inaweza kukupa idea ya kufanya biashara ya kuuza mtumba: A. SIFA ZA MTUMBA WA CHINA Belo za...
64 Reactions
245 Replies
60K Views
Angalizo: Andiko Hili sio ushauri wa kitaalamu na wala sio mbadala wa ushauri wa kitaalam.Maudhui yaliyomo yanatokana na uelewa binafsi wa mwandishi.Ukihitaji ushauri kuhusu wa kitaalamu unaweza...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Dar, karume ndio Sehemu pekee niliyoizoea kwa ajili ya mzigo wa ku point, au mnazi mmoja kwa baloo.. Agree kwa electronics Congo kwenye nguo, n.k Mwanza sio mwenyeji kabisaa, kuna Goli nataka...
1 Reactions
3 Replies
107 Views
Habari ndugu Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama...
2 Reactions
11 Replies
328 Views
Swalama wakuu? Hivi watumishi wenye jitihada kama walimu Wa Shule ya Sekondari Kisimiri kama huyu mkuu Wa Shule Na Mwalimu Wake wa taaluma plus walimu wengine kwa ujumla kwa nini Serikali...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
7 Reactions
115 Replies
2K Views
With fully mandate we are selling some of earth moving machines and trucks with guarantee of visibility and legit business accountability for more details and serious buyers please contact Eng Em...
1 Reactions
22 Replies
852 Views
Habari za majukumu wapambanaji wenzangu. Nipo kwenye hili jukwaa leo kuomba msaada kuhusu a to z ya biashara ya urembo wa magari yaani car accessories kama carpets, steering cover, radio...
4 Reactions
7 Replies
5K Views
Nina shida na kupata laini za uwakala tigopesa, airtel money na m pesa kwa bei nzuri Ni sehemu gani ninaweza nikapata zenye jina langu na bei nafuu Kwa sasa nipo Singida Itigi
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Asalaam wana JF, Well, as most of y'all knows, i am very dedicated kwenye ufugaji kuku and recently nimeingiza vifaranga 1000 vya layers and yeah, i will be sharing experience ya namna ya kuvilea...
1 Reactions
6 Replies
265 Views
Kwanini wanaojihusisha na biashara ndogondogo (wafanyabiashara wadogo) hasa wajasiriamali wanaonekana kuuza vitu vyenye ubora mdogo hata kama vinafanana na wenye biashara kubwa tena kwa bei nafuu...
2 Reactions
2 Replies
154 Views
Back
Top Bottom