HYDRAULIC PLASTIC COMPACTORS/ PLASTIC CRUSHERS,EXTRUDERS

HYDRAULIC PLASTIC COMPACTORS/ PLASTIC CRUSHERS,EXTRUDERS

Hapana What

Senior Member
Joined
Dec 24, 2017
Posts
138
Reaction score
57
WOSTEAL MACHINERY INNOVATIONS 🇹🇿 | TUNATENGENEZA MASHINE ZA PLASTIC RECYCLING TANZANIA ♻️🏭

Habari wana-JF,

Nimeanzisha thread hii kushirikisha safari ya Wosteal Machinery Innovations katika kutengeneza mashine za kuchakata plastic hapa Tanzania.

Tunajikita katika design, fabrication, assembly na commissioning ya machinery kwa ajili ya plastic recycling na waste management.

Baadhi ya mashine tunazotengeneza ni:

🔹 Plastic Crushers / Granulators – kwa kusaga plastic waste
🔹 Plastic Washing Lines – kwa kuosha na kutenganisha plastic
🔹 Plastic Dryers – kwa kuondoa maji baada ya washing
🔹 Plastic Extruders – kwa melting na processing ya plastic
🔹 Pelletizing Machines – kwa kutengeneza recycled plastic pellets
🔹 Hydraulic Plastic Compactors / Baling Presses – kwa kubana plastic waste
🔹 Conveyors & Feeding Systems
🔹 Flotation / Separation Systems
🔹 Complete Plastic Recycling Lines kulingana na capacity na aina ya plastic

🎯 Lengo letu

Ni kujenga uwezo wa Tanzania kutengeneza na kutumia local recycling technology, kupunguza gharama za kuagiza machinery kutoka nje na kusaidia kuongeza thamani ya plastic waste.

Katika thread hii nitakuwa niki-share:

📌 Machines tunazotengeneza
📌 Videos za fabrication na assembly
📌 Testing na commissioning
📌 Technical specifications
📌 Projects tunazofanya
📌 Challenges tunazokutana nazo wakati wa manufacturing
📌 Maendeleo ya plastic recycling technology Tanzania

Hii si thread ya kuuza machine tu — ni sehemu ya kushirikisha journey ya kujenga recycling machinery manufacturing hapa Tanzania. 🇹🇿

Kwa wana-JF ambao wako kwenye plastic recycling, manufacturing, waste management, engineering, investment au mazingira, karibu tushirikiane mawazo.

Wosteal Machinery Innovations
🇹🇿 Locally Designed. Locally Manufactured. Built for Africa.

♻️ Turning Plastic Waste into Value.

Thread hii itaendelea ku-update kadri tunavyoendelea kutengeneza machines mpya.
 

Attachments

  • crushermacine picha.JPG
    crushermacine picha.JPG
    63.2 KB · Views: 1
  • Floating Tank..JPG
    Floating Tank..JPG
    74.6 KB · Views: 1
  • Floatingtank1.JPG
    Floatingtank1.JPG
    38.9 KB · Views: 1
  • IMG-20250717-WA0004.jpg
    IMG-20250717-WA0004.jpg
    56 KB · Views: 1
  • Plastic crusher.JPG
    Plastic crusher.JPG
    19.3 KB · Views: 1
  • PlasticCrusher.JPG
    PlasticCrusher.JPG
    27.4 KB · Views: 1
  • 7a6e6568-b9cd-436b-8bdc-5ab3169fc676-watermark.mp4
    7.3 MB
  • Crusher.jpg
    Crusher.jpg
    136.3 KB · Views: 1
  • IMG_20260316_154136.jpg
    IMG_20260316_154136.jpg
    754.5 KB · Views: 1
  • IMG-20260331-WA0022(1).jpg
    IMG-20260331-WA0022(1).jpg
    110.3 KB · Views: 1
  • IMG-20260331-WA0025(1).jpg
    IMG-20260331-WA0025(1).jpg
    127.9 KB · Views: 1
  • IMG-20260331-WA0035(1).jpg
    IMG-20260331-WA0035(1).jpg
    149.7 KB · Views: 1
  • WhatsApp Video 2026-08-22 at 1.49.54 PM.mp4
    2.7 MB
  • WhatsApp Image 2026-08-22 at 8.49.42 PM (2).jpeg
    WhatsApp Image 2026-08-22 at 8.49.42 PM (2).jpeg
    77.3 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2026-08-22 at 8.49.42 PM (1).jpeg
    WhatsApp Image 2026-08-22 at 8.49.42 PM (1).jpeg
    76.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom