Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
231
Posts
7.2K
Threads
231
Posts
7.2K

JF Prefixes:

Habari za uzima ndugu zangu, Niende moja kwa moja kwenye mada husika kiukweli (cryptocurrency) pesa za mitandaoni kama sijakosea ndio suala linalokuja juu sana japo katika nchi yetu hawajaweka...
1 Reactions
10 Replies
166 Views
Waheshimiwa Kuna jambo moja ambalo watu wengi wamekua wanalikosea bila kujua. Kwa maoni yangu ni muhimu kuelewa tofauti kati ya business na investments. Ni muhimu kuzingatia suala la return on...
115 Reactions
572 Replies
74K Views
  • Poll
Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
12 Reactions
67 Replies
1K Views
Habarini wakuu Mimi ni kijana wa miaka 23 lengo la Uzi huu ni kuomba msaada jinsi ya kuanzisha biashara ya playstation. Nina plani za kuanzisha biashara hii baada ya kumaliza masomo yangu ya...
6 Reactions
13 Replies
336 Views
https://youtu.be/0EnGV2UKZZc?si=IK11VUZ7vcpS0QBT
1 Reactions
1 Replies
130 Views
WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227. -Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria -_wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Kuna fulsa nimeiona Oman, ya kupeleka maharage soya na Matunda pashen, nafikilia kuanza kupeleka bidhaa tajwa hapo juu kila week, kwa kuanzia ntakua nasafirisha kilo 100 kila week. Kama unafanya...
3 Reactions
14 Replies
442 Views
WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAITIKIA WITO WA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA UCHENJUAJI MADINI NCHINI -Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE -_Viwanda vya Uchenjuaji...
0 Reactions
0 Replies
43 Views
Habari wana JF, Natafuta duka la dawa linalo uzwa Ambalo lina kila kitu. Location iwe center kidogo ambapo kuna mzunguko wa biashara. Mkoa ni Mbeya pamoja na Songwe. Mawasiliano;0757915171
2 Reactions
11 Replies
148 Views
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ . Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu. 1. Vipi risk ya hii biashara? 2. Vipi wateja...
2 Reactions
15 Replies
240 Views
Salaam wakuu! Sisi sote ni watanganyika na wazanzibari tunaoishi kwa kupendana kwa kudumisha udugu wetu. Naomba mwenye sample ya andiko la mrad wowote anisaidie. Kama mtanganyika nahitaji...
2 Reactions
20 Replies
882 Views
Habari yenu wakuu! Mimi ni kijana na miaka 20 nimeona nikajifunze ufundi cherehani(tailors) ili badae nijikim mahitaji yangu. Sasa lengo la kuja hapa naomba mawazo na ushauri wenu ladies and...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii. Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Habarii Nauza pumba laini nina mzigo wa kutosha kwa takae hitaji anichek no 0757795588
0 Reactions
3 Replies
227 Views
Habari za hapa waungwana naombeni niongezeeni maarifa ya uendeshaji mzuri wa kibiashara case study ni hizi biashara zangu. Nina jamaangu muaminifu sana kwenye maisha na ni mzawa wa hapa nilipo...
0 Reactions
2 Replies
113 Views
Ndugu zangu habari,mwezi wa 4 nitafungua pharmacy kwa mtaji wa kama mil 30,kuhusu location am sure nitaipata nzuri hofu yangu kubwa ni kwamba mimi kazi yangu ni ya kusafiri safiri sana. Nilitaka...
0 Reactions
14 Replies
636 Views
Wakuu ni matumaini yangu kuwa hamjambo, nimeamua kuingia kwenye jukwaa hili nikiamini ya kwamba nitasaidia kimawazo. Katika harakati za kutafuta maisha nilifanikiwa kusajili na kufungua kampuni...
4 Reactions
8 Replies
268 Views
Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo...
1 Reactions
13 Replies
295 Views
Habari za humu ndugu zangu, mm ni yule yule ndugu yenu wa kuishia LA7, Leo nimekuja na plani ya kuisaka milioni zaidi ya 2 ndani ya miezi 18 Ukweli mimi toka nizaliwe pesa yangu cash...
19 Reactions
43 Replies
2K Views
Habarini members, Nilikuwa naomba tupeane connection ya chimbo la kununua dawa( dawa za binadamu)kwa bei ya jumla kwa ajili ya pharmacy! Either Kariakoo au popote pale! Natanguliza shukurani
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom