Jamaa Bakery waibukia Arusha

Jamaa Bakery waibukia Arusha

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,927
Reaction score
3,255


Mwekezaji na mmiliki wa Jamaa Bakery, John Alfred Kyenkungu, sasa ameleta huduma za mikate na vyakula mbalimbali jijini Arusha.

Kenkungu aliyeanzisha biashara hiyo miaka 32 iliyopita, ameeleza safari ya mafanikio yake akishirikiana na maduka ya Nakumat Supermarket kabla haijafungwa.



Sasa Kenkungu amefungua upya biashara yake hiyo jijini Arusha akilenga kuteka soko la utalii kwa kuuza mikate fresh inayookwa kila siku, pizza, sandwich, spaghetti, chipsi, chapati hadi mandazi, kuna ladha mbalimbali za kujivinjari nazo.
Mdau wa utalii Arusha, Benny Mayunga, ameipongeza bakery hiyo baada ya kuonja baadhi ya vyakula na kuvutiwa na ubora na namna vinavyoandaliwa.
 
Hongera Sana kwake
Huyu Mzee ni mpambanaji haswaaa
Watu walidhani baada ya kutoka Jela asingerudi kwenye upambanaji

Mungu amsimamie Sana
 
Back
Top Bottom