Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
231
Posts
7.2K
Threads
231
Posts
7.2K

JF Prefixes:

Hello wana bodi, natumai wote mko poa karibuni kwenye hii thread ambayo kwa namna 1 au nyingine inaweza kukupa idea ya kufanya biashara ya kuuza mtumba: A. SIFA ZA MTUMBA WA CHINA Belo za...
64 Reactions
245 Replies
60K Views
Angalizo: Andiko Hili sio ushauri wa kitaalamu na wala sio mbadala wa ushauri wa kitaalam.Maudhui yaliyomo yanatokana na uelewa binafsi wa mwandishi.Ukihitaji ushauri kuhusu wa kitaalamu unaweza...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Dar, karume ndio Sehemu pekee niliyoizoea kwa ajili ya mzigo wa ku point, au mnazi mmoja kwa baloo.. Agree kwa electronics Congo kwenye nguo, n.k Mwanza sio mwenyeji kabisaa, kuna Goli nataka...
1 Reactions
3 Replies
118 Views
Habari ndugu Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama...
2 Reactions
11 Replies
342 Views
Swalama wakuu? Hivi watumishi wenye jitihada kama walimu Wa Shule ya Sekondari Kisimiri kama huyu mkuu Wa Shule Na Mwalimu Wake wa taaluma plus walimu wengine kwa ujumla kwa nini Serikali...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
7 Reactions
115 Replies
2K Views
With fully mandate we are selling some of earth moving machines and trucks with guarantee of visibility and legit business accountability for more details and serious buyers please contact Eng Em...
1 Reactions
22 Replies
862 Views
Habari za majukumu wapambanaji wenzangu. Nipo kwenye hili jukwaa leo kuomba msaada kuhusu a to z ya biashara ya urembo wa magari yaani car accessories kama carpets, steering cover, radio...
4 Reactions
7 Replies
5K Views
Nina shida na kupata laini za uwakala tigopesa, airtel money na m pesa kwa bei nzuri Ni sehemu gani ninaweza nikapata zenye jina langu na bei nafuu Kwa sasa nipo Singida Itigi
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Asalaam wana JF, Well, as most of y'all knows, i am very dedicated kwenye ufugaji kuku and recently nimeingiza vifaranga 1000 vya layers and yeah, i will be sharing experience ya namna ya kuvilea...
1 Reactions
6 Replies
266 Views
Kwanini wanaojihusisha na biashara ndogondogo (wafanyabiashara wadogo) hasa wajasiriamali wanaonekana kuuza vitu vyenye ubora mdogo hata kama vinafanana na wenye biashara kubwa tena kwa bei nafuu...
2 Reactions
2 Replies
158 Views
Rafiki yangu, kama ulikuwa hujui, au ulikuwa unajifanya hujui basi wacha nikujuze. Hii Ndio Biashara sasa na huyu ndio mfanyabiashara wa kweli. Kuhusu Faida Biashara ya kweli ni biashara...
7 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu hapo juu kichwa cha habari chajieleza. Naomba msaada namna ya kupata line mpya kwa ajili ya kufanya biashara. Naomba kuelewa utaratibu upoje, pia kwa mtu anayeuza naomba bei na maelekezo...
1 Reactions
42 Replies
28K Views
Ni kweli mafao ya wastaafu hayatoshi (si wao tu asilimia kubwa ya wabangaizaji Tanzania either hakuna wanachopata na wakipata hakitoshi)...; Lakini wakati tunachemsha Bongo jinsi ya kuwarekebishia...
1 Reactions
11 Replies
261 Views
Bitcoin halving, linalojulikana pia kama "nusu ya zawadi ya block", ni tukio linalopangwa ambapo idadi ya Bitcoin mpya zinazotolewa kwa wachimbaji kwa kila block iliyothibitishwa hupunguzwa kwa...
0 Reactions
4 Replies
114 Views
1.bei ya Hizo water ATM 2.zinapatikana wapi nchini 3.changamoto zake na faida zake 4.mahitaji yake (leseni? Vibali? N. K)
4 Reactions
13 Replies
478 Views
Mimi ni kijana mhitimu wa chuo nimeamua kujikita kwenye ufugaji wa kuku wa Nyama(broilers). Nilikua nahitaji mtu ambae ana connection ya uuzaji wa kuku kama vile kwenye restaurants au vibanda vya...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya kuona hii article hapo chini imenikumbusha kwamba hii kitu ina market sana Ghana na Nigeria.. (kweli one Man's meat is another Person's Poison) Austria's only snail farmer...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Wakuu, Nataka kujitosa kwenye hiii biashara ikiwezekana hata kesho. Nina desktop mpya kabisa yenye uwezo wa ku-burn CD/DVD. Mwenye ideas\uzoefu wa hii kitu anijuze
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Back
Top Bottom