Nijuzeni Chimbo la vifaa vya stationery DSM

SECRET AGENT

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
252
488
Habari wakuu,

Nahitaji nikachukue bidhaa za kuweka katika stationery yangu na materials mbalimbali ya printing (karatas za aina mbalimbali) na vifaa vingine mbalimbali. Naomba kujuzwa ni sehem gani DSM nitapata wanapouza kwa Bei ya jumla na sio rejereja.

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom