Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini wadau, ninatatizo moja hapa nahitaji ufafanuzi wenu. Nimesajiri kampuni kama business name au huitwa Solo Proprietor Company. Inahisika na utalii, hivi sasa na taka kujitanua kwa kufungua...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
GHATI CHOMETE - SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA NGUO MUTEX MUSOMA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ameiuliza swali Wizara ya Uwekezaji...
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Naomba msaada wenu kama kuna mdau humu anisadie hata pm USSR
0 Reactions
13 Replies
821 Views
Watu wengi tushawahi kuwauliza watu eneo kwaajili ya kufanyia biashara fulani, yaani baada ya kupata wazo unalitekelezea wapi...?? Njia rahisi ya kupata eneo sahihi kwaajili ya biashara yako ni...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hello guys, Mimi ni mfanyabishara wa vitu vya kike (nguo na viatu). Nataka kwenda SOUTH AFRICA kujuana na supplier na kujua soko la kule likoje. Utaratibu wa kusafirisha mizigo na kilo kitu. Kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu kwema, natafuta dalali wa mazao Tabora, nataka kununua karanga tani 16 na kuendelea. Nichek inbox au reply uzi huu
3 Reactions
3 Replies
659 Views
Habari wakuu , Mimi ni mtumishi hivyo katika harakati za kupambana Ili kujitafutia mkate nimeona fursa katika vitu vya electronics hasa kwa watumishi kwa kuwa mm bado sipo vizuri kwa UPANDE wa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ebu tuelimishane, Kwanini kwenye mfungo wa Ramadhan vyakula vinapanda bei? Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo? Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu...
1 Reactions
10 Replies
871 Views
Habari wadau,naomba msaada kuagiza mzigo kutoka Nigeria,ni ki parcel cha kubeba mkononi,mwanzo nimeagiza kupitia DHL bei ni kubwa na bado mpaka sasa sijapata, sababu ni watu wa customer TRA...
1 Reactions
3 Replies
850 Views
Waungwana hapa nafikiria kufungua kituo cha kuziba pancha lakini kwanza nahitaji hii machine ila sijui napata wapi mwenye ufahamu Naomba anielekeze niipate
0 Reactions
6 Replies
918 Views
Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji...
6 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari wakuu, Najaribu kutafuta biashara salama ya kufanya ambayo itanipa Mzunguko Mzuri. Nimefikiria kuhusu biashara ya used simu kutoka Dubai / Europe , changamoto ni sina experience na sijui...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya Forex kupata reputation mbaya hapa Bongo hasa baada ya makanjanja kuiharibu, sasa nadhani ni mwakati tuwasikilize waliofanikiwa kupitia Forex, huenda tukapata mawili matatu ya maana...
0 Reactions
51 Replies
14K Views
Jamani habarini humu. Kwa yeyote anaefanya biashara uganda na Tanzania kuna mambo nahitaji msaada kidogo comment hapo then nitakuchek pm
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Fred Vunjabei ameamua kuweka duka lake Zanzibar kuwapa ahueni ya kununua vitu kwa bei ya juu. Kabla hata hajaanza kazi keshaanza kupata mizengwe na Manispaa ya Mjini Zanzibar. Ngazi za...
4 Reactions
52 Replies
7K Views
Wazee kama mada inavyojieleza, hapa nina kiasi taslim 150k ila nina uhitaji wa 250k, Je, ninaweza kufanya nini ili kiasi hiki kitimie ndani ya muda mfupi? Nipo mkoa wa Manyara. NB; Sitaki habari...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYETU VYOTE 68 VINA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA Miradi hiyo ya maji iko kwenye hatua mbalimbali kama ifuatavyo: *Vijiji 2 vinatumia maji ya visima virefu *Vijiji 32...
0 Reactions
1 Replies
628 Views
Habari Wakuu, Bila shaka Mungu ametupa uzima hivyo hatuna budi kumshukuru..! Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu...... Naomba wajuvi, wenyeji na hata wafanya biashara...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mimi ni mchimbaji mdogo kutoka Kanda ya ziwa pia nafanya biashara, mwaka 2021 nilitembelea chunya, tunduru na mbinga katika harakat I za kazi yangu kabla ya kurudi mwanza kwa masuala ya...
2 Reactions
1 Replies
581 Views
Wakuu habari, Nisaidien kitu Hapa hivi kwa mtaji wa million moja nawezafanya biashara ipi wakuu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom