Naombeni msaada kwa anayefanya biashara Comoro

luje

Member
Mar 16, 2023
21
8
Napenda kufanya biashara Comoros ya kupeleka mbuzi mwenye uzoefu wa hii biashara naomba msaada wake na biashara nyingne pia ambazo mtaji wake maximum M15, awe mzoefu anae kwenda kila siku.
 
Usikurupuke, Wacomoro sasa hivi wamejaa Dar, tafuta taarifa sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom