Naombeni uzoefu wa biashara ya perfume

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Habari za uzima wajasiria mali, nauliza mwenye uzoefu na biashara ya perfume anipe uzoefu kwa mtaji wa laki 3,

Machimbo na perfume za aina gani napaswa kuanza nazo.

Nb nipo dodoma, na nitakua natembeza Sina fremu.
 
We fungua tu ila ujiandae na masista do/ watanashati wasiokuwa na Hela kazi Yao huwa kujispray Kwa kigezo Cha kuangalia perfume yenye harufu nzuri. Akimaliza sample zote huyoo anakuambia atarudi baadaye.
 
Habari za uzima wajasiria mali, nauliza mwenye uzoefu na biashara ya perfume anipe uzoefu kwa mtaji wa laki 3,

Machimbo na perfume za aina gani napaswa kuanza nazo.

Nb nipo dodoma, na nitakua natembeza Sina fremu.
Ukishaanza kuuza nitafute whatsapp niwe nakufanyia supply ya brands zote za perfumes kutoka Dubai +971527794329
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom