Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za saa hizi wataalamu. Nina mashine ya kukoboa na kusaga. Rolla tatu, mota 30hp zote mbili. Toka nianze hii biashara sijapata faida. Naomba ushauri kwa walio kwenye hii game muda mrefu...
2 Reactions
16 Replies
706 Views
Wakuu wa jamvi, kwanza poleni na msiba. [emoji120] Naomba kutoka kwenu kujua gharama za mtaji wa mashine ya kusaga na kukoboa nafaka kama mahindi, mchele n.k. Napendekeza pia kushirikishwa...
4 Reactions
40 Replies
66K Views
Habari wakuu, Khalysh investment tusambaza chakula cha kuku cha aina zote kwa bei ya kiwandani—ubora wa hali ya juu, bei rafiki, na uhakika wa matokeo shambani. 🐔 AINA ZA CHAKULA TUNAZOTOA: 🔹...
3 Reactions
3 Replies
539 Views
Habari Tanzania !.. Wewe kijana ukipewa kiasi cha pesa Tsh.1,000/=. Ukaambiwa ndani ya siku 7 uifanyie uzalishaji hiyo pesa kwa zaidi ya mapato ya Tsh.100,000/= utaweza!?.. Endapo ukiweza...
6 Reactions
50 Replies
756 Views
Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Miaka kadhaa iliyopita, Hussein alikuwa kijana wa kawaida mwenye ndoto kubwa lakini mtaji mdogo. Alikuwa akipenda michezo tangu utotoni na aliona fursa ambayo watu wengi waliipuuzia—biashara ya...
4 Reactions
17 Replies
501 Views
Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu. Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji...
7 Reactions
11 Replies
426 Views
FBME, one of Tanzania's largest commercial banks, has been cut off from accessing the US financial system on suspicions that the bank has facilitated money laundering, terrorist financing, and...
2 Reactions
87 Replies
14K Views
Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumezua mjadala mpana kuhusu mfumo wa...
1 Reactions
2 Replies
184 Views
🚨 COMING SOON 🚨 Kuna kitu kikubwa kinakuja... SWAHILIFAMILY DIRAHUB ni mradi mpya chini ya SwahiliFamily Foundation wenye lengo la kuhamasisha Watanzania kuelewa Dira ya Taifa 2050 kupitia...
1 Reactions
2 Replies
108 Views
Mara nyingi tunasikia majina haya matatu—LNG, LPG na CNG—lakini kwa Mtanzania wa kawaida ni vigumu kuelewa tofauti zake na matumizi yake. Ningependa wataalamu wa nishati watuelimishe kwa lugha...
4 Reactions
12 Replies
335 Views
Kuwekeza kwenye share na hati fungani it's risk lakini kuwekeza kwenye hisa ni risk zaidi na risk zipo katika aina hizi... Systematic risk hizi ni aina za risk ambazo ni unavoidable(...
5 Reactions
6 Replies
217 Views
Nani anafahamu hizi zinapatikana wapi kwa matumizi ya ofisi,mimi niko Arusha.
0 Reactions
2 Replies
170 Views
Kuna jambo ambalo nimeliona kwenye maduka mengi, sijui kama ni mimi peke yangu, lakini naamini linaweza kuwa linachangia baadhi ya biashara kupoteza wateja bila wenyewe kujua. Unaingia dukani...
5 Reactions
6 Replies
212 Views
Watu wengi huamini kuwa ili ufanikiwe kwenye biashara lazima uwe na mtaji mkubwa. Lakini hadithi ya Sarah inaonyesha kuwa mafanikio huanza pale unapokuwa na maono, nidhamu na uamuzi wa kuanza na...
1 Reactions
0 Replies
235 Views
Biashara ya kukodisha ukumbi ni moja ya fursa zenye uwezo mkubwa wa kuleta faida endapo itaendeshwa kwa mipango sahihi. Mahitaji ya kumbi kwa ajili ya harusi, semina, mikutano, sherehe za kuzaliwa...
1 Reactions
0 Replies
239 Views
Je, unatafuta maharage safi yenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya nyumbani au biashara? Tunauza maharage bora kwa bei nzuri ya TSh 2,800 kwa kilo, kwa ununuzi wa kuanzia kilo 20 na...
0 Reactions
1 Replies
163 Views
Wakuu habari yenu Naomba mwenye uelewa wa teknolojia ya namna ya kufanya biashara ya kukopesha simu . Nataka kufanya hii biashara ila nashindwa pa kuanzia. Natanguliza shukran
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari JF Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung. Modeli no A06, A07,A16 na A17. Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi ni mmoja wa wale watu ambao hawawezi kuja hapa kujifanya ni mkali wa kamari.kiukweli kamari imeshanila hela ya kutosha. nadhani wakamaria wote tunajua huu mchezo wetu mfano mdogo juzi...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…