Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana jamvi hamjambooo Nawaza tu kufungua bakery hapa nyumbani,kuna pesa nawaza kuifanyia uwekezaji na niko sehem ndo mji umeanza kuja so nadhania kuanza kuanzisha biashara ya bakery...
1 Reactions
0 Replies
916 Views
Habari zenu wanajamii, naomba kuuliza kuhusu wale jamaa wa pale Ilala Boma wanaouza nguo kwa kutaja bei hususani zile tishet, huwa wanazitoa wapi maana huziweka kwenye mifuko tu ya kawaida zikiwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari napenda ulizia kwa anaejua au anaefanya biashara ya kuuza mayai , hasa haya mahususi ya kupikia chipsi wakuu. Anijuze napenda kuanza biashara hii Location ni Moshi Mjini...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Natumaini kuwa mnaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nakumbuka nilikuja kwenu na wazo majuzi. Nilitamani kutengeneza mfumo utakao wawezesha wateja kununua kwa bei...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za muda huu nauza mashudu ya Alizeti bei ni Tsh 150 kwa kilo moja, mazungumzo yapo endapo utachukua zaidi ya Tani 25 nipo Songea Mjini kwa mawasiliano zaidi unaweza kunipigia kwa simu No...
2 Reactions
2 Replies
959 Views
Habari, Nina wazo la biashara ila mtaji unazingua, nitaanza na nilichonacho. Kwa kuwa nimeishi Dar muda mrefu na nimejuwa mitaa na chocho za Dar, hakuna sehemu utanipoteza Dar. Basi...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wadau wnaaotaka kusafiri china na turkey Kuna maonyesho mbali mbali Katika kipindi mbalimbali katika mwaka kama ilivyo kwetu Kuna 7/7. Nina dondoo kidogo...naomba tukutane hapa kupeana huu...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusina na wale Wawekezaji ambao incase unaplot mahali wanakuja kujenga kama apartment. Au office kwaanae jua anisaidie plz coz tuna eneo lipo town maeneo ya Ilala...
1 Reactions
2 Replies
344 Views
Wakuu namshukuru Mungu kwa hii pumzi na kwa riziki zake. Mimi ndugu yenu siku za hivi karibuni nimeona ni muda muafaka wa kuanzisha chanzo kingine cha mapato ila bado sijafanya maamuzi kamili...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
Matumaini yangu hamujambo wana-JF Napenda kutoa uzi huu nikiwa na experience ya kutosha kuhusu ujasiriamali kwa nchi yetu. Tanzania haina habari kuhusu wajasiriamali kwa sababu zifuatazo: 1...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Kati ya sheria au Rule ngumu katika kujenga na kuimarisha kipato au kusaka utajiri ni hii 1. “Earn before you Spend” Hii rule nimejaribu miaka mitatu sasa siiwezi hasa kwa wafanyakazi ndio kazi...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais Samia anafungua hotel ya kisasa mkoani Arusha iitwayo Gran Melia na tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten. Karibuni sana. ===== Rais Samia Suluhu amezindua rasmi hoteli ya kisasa...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Habari za wakati huu, Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na jitihada zako za kutafuta mafanikio katika maisha yako. Niseme tu ukweli kwamba ninaandika andiko hili nikiwa katika maombolezo...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Msaada jamani, kwa wale wafanya biashara wazoefu wa kusafirisha mazao nilikuwa nahitaji kujua jinsi ya kupata kibali cha kusafirisha mazao.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hello wana JF Ni matumaini yangu hamjambo na wenye afya tele na hata wale wagonjwa namuomba Mungu awaponye haraka. Leo ningependa kuongelea hizi Financial Markets yaan Masoko ya Biashara za...
4 Reactions
96 Replies
9K Views
Hi, Anyone drop any challenge ambayo startups za Bongo/ Africa kwa ujumla zinaface. Mimi ntaanza na Tamaa, startups founders wengi wa Africa wana tamaa akishaanzisha kitu akapata hela tu bas...
4 Reactions
18 Replies
867 Views
Nipo hapa kwa kitanda usiku huu wa manane nikiwa na msongamano wa mawazo na kutafakari mambo mbalimbali kuhusu haya maisha hasa kwa sisi vijana ambao tunajitafuta na bado hatujajipata. Haya...
20 Reactions
36 Replies
5K Views
Miradi ndio uti wa mgongo wa taasisi zisizo za kiserikali (NGOs), kupitia miradi taasisi huweza kujiendesha, kutimiza malengo yake ya kimkakati (Strategic objectives) na pia kufikia uono wake...
13 Reactions
52 Replies
26K Views
Jmn nahitaji bus zuri lenye huduma nzuri linalotoka Mwanza to Dar, naombeni jina la bus zuri jmn. Maana nmekuta siti za katarama zimejaa.
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Habari wakuu, Nimerudi kwenu kwa mara nyingine tena. Mwaka juzi (2021), nilikuja hapa kwenye jukwaa na kutafuta business partner ambaye atakuwa tayari kuwekeza kwenye Machine shop. Hii kwa maana...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…