amate
Senior Member
- Feb 23, 2017
- 157
- 377
Matumaini yangu hamujambo wana-JF
Napenda kutoa uzi huu nikiwa na experience ya kutosha kuhusu ujasiriamali kwa nchi yetu. Tanzania haina habari kuhusu wajasiriamali kwa sababu zifuatazo:
1. Malighafi bei ziko juu.
Huwezi kusema hakuna ajira za kutosha kwahiyo vijana wajiajiri halafu bei za bidhaa inayohusu ujasiruamali na vitendea kazi vyake viko juu. Mfano, watengenezaji wa batiki, bei ya peace moja ya batiki (kabla hujaifanyia modification) ni 6250/= - 6300/=. Baada ya kuweka rangi zako utauza bei gani...?
Wakat peace moja ya kitambaa hicho hicho (yaan same material) nimetengenezwa kiwandani (kitenge kutoka kiwandani) kinauzwa 6500/=. Sasa mjasiriamali atapata wapi soko..?. MAONI YANGU. MO ndo Mzalishaji mkubwa wa vitambaa plain kwajili ya wajasiriamali kwa kushilikiana na serikali washushe bei.
2. Kemikali bei juu. Turudi kweny batiki hizo hizo, zinatengenezwa kwa kemikali kama 3 hivi. (Caustic soda, sodium hydrosulphate na rangi). Hizi kemikali zinatoka India zinatozwa kodi ndefu. Sasa mjasiriamali atawezaje kuzinunua ??. MAONI YANGU. Serikali watambue uwepo wa wajasiriamali, wapunguze kodi kwa baadhi ya kemikali.
3. Vyeti kutoka SIDO. Limitations za serikali kama vile kila mjasiriamali apate cheti cha ujasiriamali wakat hawana mda wa kufundisha wajasiriamali.
4. TBS. Kati ya taasisi useless Tanzania ni hii, wanadhibit ubora na viwango vya bidhaa zipi..?. Hawa jamaa wanaendesha ukiritimba wa kubana panzi, lakn tembo hawaulizwi chochote (Waliosoma Cuba wameshaelewa).
5. MY TAKES: Baadhi ya nchi mjasiriamali anapewa priority kubwa sana ili:
ASANTENI SANA

- Waongeze ajira kwa vijana
- Waongeze ubunifu
- Waongeze kipato kwa kila mwananchi
- Wazalishe viwanda vingi zaid na nchi ipate mapato....
ASANTENI SANA