Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu habari, Natumai kuna wajuzi na wenye uzoefu na mji wa kahama kwenye eneo la ujasiriamali hapa, nina ichi kiasi cha laki nane ambacho natamani kisikae kizalishe chochote kitu ili nitanue...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Mwenye kujua chimbo kko la bei nzuri nguo za awali za mtoto mchanga naomba unielekeze
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, napenda kufahamu bei za frem za biashara dodoma zinaendaje . Biashara kama 1. Furniture 2. Mapazia, mashuka, godoro, neti, 3. Hardware ... Napenda kufamu bei za frem na mzunguko wa...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Nataka nifanye hii mishe naomba bajeti hapa nina dishi la Azam tu. Najua gharama za kibanda, TV nch 40, au projector, supika, solar in case umeme umekata, nk. Mnakaribishwa kunipa changamoto za...
5 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari wakuu, nlikuwa naomba msaada Kwa wazoefu, ninataka kufungua duka la vifaa vya useremala lakini nataka kuanzia na vichache vyenye matumizi ya kila siku kama misumari ya aina zote, msasa...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wana JF naitwa james nipo mwanza , naomba kupata ushauri kutoka kwenu namna na jinsi ya kuendesha biashara ya nafaka , kwa mtu alie na ujuzi zaidi naomba anielimishe
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho...
0 Reactions
1 Replies
527 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imeelekezwa kuwalea wafanyabiashara nchini kwa kurahisisha jinsi ya kuifikia, kuwa mbunifu wa namna ya kuwahudumia na kuifanya Taasisi kuwa ya...
1 Reactions
0 Replies
417 Views
Habari Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya clearing and forwarding. Nina kampuni, wateja wachache ninao, natafuta mtu mwenye wateja lakini Hana kampuni nifanye naye kazi. Naomba kuwasilisha
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndugu wasomaji wa JF, Kuna uwekezaji mmoja mkubwa naamini unaoweza kuleta manufaa makubwa siyo tu kwangu binafsi lakini pia kwa taifa kwa ujumla. Sitaeleza sana wazo lenyewe kwa sababu...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari! Naitwa Ashraf, nina miaka 25, Elimu yangu ni Kidato cha 4, nimesoma VIP pale NIT. natafuta gari ya kufanyia kazi (Tax Mtandao). Nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Nina uzoefu kama Dereva...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Sisi Wakulima wa Zao la Vanilla Kagera tulimuuzia Kampuni ya Sosaka Limited iliyopewa vibali na Ofisi ya Mkoa wa Kagera, vanilla zetu mnamo tarehe 19-23 July 2023 lakini mpaka sasa hatujalipwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE ASEMA SAFARI ZA DAR - MORO KUPITIA RELI YA SGR KUANZA JULAI, 2023 Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepokea mabehewa sita ya reli ya kisasa ya (SGR)...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza...
0 Reactions
4 Replies
626 Views
Salaam wakuu ,huwenda nikawa nje kidogo ya mada ila nimekuja katika uwanja huu kwa lengo la kutafuta gari ya kufanya nazo kazi aina ya tipper (mende)nina uzoefu na nina kazi za kutosha hapa jijini...
1 Reactions
1 Replies
938 Views
Leteni idea, mimi naona biashara ya mazao inalipa. Vipi mnaonaje?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar, nahitaji kujua madhara ya kutowalipa hawa tala na branch mkopo uliochukua, maana kuna jamaa yang anadaiwa na elfu 70 tala na laki moja branch na hajawalipa miez kadhaa imepita ila jamaa...
2 Reactions
145 Replies
36K Views
Kwa mtaji wa shilingi laki 1 naweza kufanya biashara gani Dar es Salaam inayolipa??
4 Reactions
78 Replies
4K Views
Habari wadau! Naomba kqa yoyote anaefahamu Chimbo wanapouza Tv Flat Screen kwa bei ya Jumla. Nazungumzia Brand za bei ya mtanzania kama Aborder, Sundar, Star X na Alitop. Ahsante
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom