Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kampuni ya kutoa tathmini ya nchi juu ya uwezo wake wa kukopa na kulipa madeni, credit rating agency iitwayo Moody's imeipandisha daraja nchi ya Tanzania kutoka B2 kwenda B1. Pamoja na hilo nchi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Salam wakuu, Kama Uzi wangu unavyojieleza hapo juu, nahitaji meza ya chakula (dining table) kwaajili ya nyumbani. Naomba kwa anayefahamu sehemu wanatengeneza meza hizo kwa gharama nafuu kwa hapa...
1 Reactions
3 Replies
455 Views
Showcase ilo sokoni hii kwa wale wauza simu na bidhaa zake inawafaa zaidi au hata kama hufanyi hiyo biashara ila unaona inakufaa pia unakaribishwa.... Bei ni 235,000 Ipo Sinza madukani...
1 Reactions
0 Replies
402 Views
Wasalaam Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank. Sasa je kuna mtu anafahamu...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari za asubuhi; Kama kawaida huwa kuna maamuzi mengi magumu ya kufanya katika maisha,baadhi yake ikiwa ni uamuzi wa ama kujiajiri au kuajiriwa. Uamuzi au uchaguzi huu mara nyingi haufanywi na...
6 Reactions
31 Replies
11K Views
Habari wadau , nauliza bei ya mashamba wilaya ya arumeru kwa ekari moja, mweye kujua
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hivi mchakato wa kupata barcode kwa mjasiriamali mdogo ukoje...Kuna mdau alisema ni pale ofisi ya mkuu wa wilaya ya ilala ndio ofisi zilipo ni sawa.
1 Reactions
6 Replies
855 Views
Tunapatikana mbezi mwisho. Contact us: 0624390721
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu Naomba fursa za kibiashara mikoani kwa mwenye kufahamu biashara gani inalipa kwa kusafirisha kutoka dar es salaam. Natanguliza shukrani Nguvu moja [emoji881]
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Thamani ya Ksh inaonekana kuimarika dhidi ya Dollar lakin kwa Tsh inazidi kuporomoka na dollar inazidi kuwa adimu ni jambo gani hawa majiran zetu wanafanya vyema zaidi sisi hatukifanyi?
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Naomba msaada zaidi kuhusiana na ufunguzi wa kampuni ya usafi (general cleaning)
4 Reactions
4 Replies
932 Views
Niko wilaya ya Mafia, nalea vikundi vya wamama na vijana. Wanachama walio ndani ya hivi vikundi shughuli kubwa niliyoona wanafanya sana ni wanakopeshana sabuni za unga. Wananunua carton ya...
4 Reactions
7 Replies
528 Views
Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories. Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Changamoto za sera ya biashara ya Tanzania
2 Reactions
1 Replies
275 Views
Wana JF heshima mbele, Naomba kujua alie na upeo wa bishara ya kupasua kokoto kati ya Morogoro au dodoma..wapi pazuri na biashara yenyewe kwa ujumla na maeneo mazuri kwa kufunga mashine...
0 Reactions
16 Replies
15K Views
Chanzo kikuu cha maduka mengi kufilisika ni 1. Kodi kubwa ya fremu 2. Gharama za maisha (maana mwenye duka pia ni binadam na ana familia pia kama amepanga chumba ana kodi ya kulipa) 3. Kodi kubwa...
42 Reactions
74 Replies
37K Views
Nina pesa kama nilivyoiainisha hapo juu, Na ninahitaji kufanya biashara ya duka la dawa na sina kitu hata kimoja zaidi ya pesa yangu mfukoni. Je, nikianza harakati sitoishia njiani? Zaidi soma...
3 Reactions
36 Replies
49K Views
Habari za Jumapili, Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi. Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk. kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho, wengine kutokuwa...
15 Reactions
139 Replies
13K Views
Habari za wakti huu? Hizi ni baadhi ya biashara ambazo unaweza kuanzisha na kuzifanya kwa njia Mtandao. Duka la Mtandaoni (E-commerce): Hii inahusisha kuuza bidhaa mtandaoni. Unaweza kuunda...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, zenu wanajukwaa, Naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na mikopo ya bank au hizi microfinance Je, kuna uwezekano wa mtu kupata mkopo ikiwa si mwajiriwa,hana biashara rasmi kwa maana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom