Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nahitaji kuchukua mkopo mdogo hapa ofisini, sasa kuna form za wadhamini kama mbili ila anatakiwa mtu anayefanya serikalini au kwenye shirika kubwa linalotambuka. Mkopo ni mdogo tu na ni hapa hapa...
1 Reactions
4 Replies
536 Views
Ni kawaida shida huwa haipigi hodi naomba msaada hivi naweza kwenda bank ninayopitishia mshahara wngu nikazungumza na branch manager akaniwezesha kupata hiki kiasi 210k kwa makubaliano tu mshahara...
1 Reactions
20 Replies
866 Views
Nitaongelea zaidi uhasibu, kwa sababu ndo fani Ninayoizungumzia zaidi, katika kazi ya uhasibu ina changamoto mbalimbali, kama kulipa loss etc. Mfano siku umefanya mauzo ya sh milioni moja, lakini...
2 Reactions
2 Replies
571 Views
Mimi ni kijana wa miaka 26 katika kupambana kwangu katika vibarua tofauti tofauti kwa miaka mitatu leo nimekwenda kuangalia saving account yangu nimekuta kuna shilingi 16M kiukweli sina wazo...
12 Reactions
86 Replies
5K Views
Alhamndullillah, Nilileta uzi wa kuomba ushauri humu, kipi kitega uchumi kizuri kati ya bajaj na trekta. Wadau walitoa maoni yao, kila mmoja alishauri kwa namna alivyoelewa, ila wengi...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu wa JF, Naomba kuuliza ni sehemu gan hapa Dar kwa mwaka huu 2024 Kuna fursa nyingi za kibiashara kwa sisi wenye mitaji midogo kama 3M ambapo maybe kuna nyomi la watu wengi, mzunguko wa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
10 Lessons from MILLIONAIRE SUCCESS HABITS by DEAN GRASIOSI 1. THE POWER OF MINDSET AND BELIEF: This lesson underscores the significance of cultivating a success-oriented mindset and belief...
2 Reactions
1 Replies
741 Views
Wakuu Hivi kati ya kahama na mbeya wapi pako vizuri kwa mazunguko wa pesa,unafuu wa gharama za maisha na ubora wa miundombinu?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wapi naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa DSM na kwa mtaji huo ninaweza...
7 Reactions
59 Replies
16K Views
Habari wadau wa JF. Kutokana na kaulimbiu ya nchi yetu ya Tanzania ya Viwanda leo nataka kuwapa funzo/mafunzo ya jinsi ya kutengeneza sabuni za kipande au kufulia. Jiulize wewe uliyekuwa Katavi...
1 Reactions
18 Replies
15K Views
Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Wanajamvi nina wasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nimekuwa nukijiuliza maswali mengi sana kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea katika taifa letu pendwa kabisa Tanzania, Je ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau wa JF. Leo nimewaletea Kaunda suti za watoto wadogo miaka 2 - 17. Sifa za Kaunda suit 👇 Quality materials ✅ 100% cotton wool materials ✅ Bei👇 Tsh. 95,000/= WhatsApp/call...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu,
3 Reactions
8 Replies
862 Views
Habari ndugu zangu, natumaini wote mpo salama. Niwatakie kheri ya X-mass na mwaka mpya. Swali langu la Leo ni, Je biashara ya Uber na bolt kwa kutumia gesi asilia inaendaje? Zingatia: -Faida ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi juu ya soko la Hisa (shares) ambalo nadhani unaweza kumsaidia mtu yoyote kwa namna yoyote ile. Nini maana ya uwekezaji katika soko la HISA? Ni kitendo cha kununua...
11 Reactions
47 Replies
16K Views
Guyz habari mm ni mfanyabiashara naomba kujua sehemu ambayo watu wananunua dagaa wachafu kwa ajili ya vyakula vya migugo kwa sasa tuna tani kama 35 za dagaa wachafu lakni pia uduvi ila kwa sasa...
1 Reactions
1 Replies
452 Views
Wakuu habari zenu? Niingie moja kwa moja kwenye mada. Baada ya kusoma habari ya forex humu jamii forum nilitamani sana niijue hiyo biashara . Baada ya muda nikaona post humu ikiwa inaelezea...
13 Reactions
56 Replies
17K Views
Agri acress farm kutokea Morogoro mjini Tanzania wanakuletea huduma bora ya miche mbali mbali ikiwemo miche ya matunda, mbao, maua na migomba. Wasiliana na mmoja wa wanna bustani kutoka Agri...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Hello wanajamii, Baada ya kuwasaidia zaidi ya wafanyabiashara 3000 kujenga biashara mtandaoni, moja ya swali ninaloulizwa sana na watu ni formula nzuri ya kupata wazo zuri la biashara...
2 Reactions
0 Replies
809 Views
Back
Top Bottom