Kwa Laki 5 naweza nikafungua Maabara?

Kwa Laki 5 naweza nikafungua Maabara?

Yani kodi humo humo kwenye laki tano na vifaa tiba na wafanyakazi na kila kitu!!!? Jamani nia unayo ila mtaji bado sana jipange
 
Fungua maabara ya kukopi nyimbo na movies/series si inaitwaga maabara pia?
 
Maaabara bila ya kuwa na darubini cjui unatoboaje yani na hyo si maaabara na pia hizo rapid test haziwezi kukulipa jipange tena
 
Budget ya laki tano
Nunua Mrdt 2 zakuanzia
Upt box 1
Hiv kit 1
gloves box 1
hivo hata laki haiishi

Tafuta microscope used kwa la3
chumba lipa miez2 (50*2)

Dawa si lazima uwe nazo utakua unawaandikia wakanunue

anza na hapo utaja nishukuru
Safi sana
Bahati mbaya sina namba yako mkuu ningekutumia mtaji wa kubeti 😁
 
Back
Top Bottom