Erooo Wana JF! Nilikuwa Umasaini kwa muda,na nimerejea mjini.
Nina swali nataka uliza hii kampuni HiTS Tanzania ambayo ipo chini ya Excellentcom (T) Ltd Kulikoniiiii?:confused: Mlisema mtaanza...
Habari zenu wadau, samahani nilikuwa na omba format ya company profile, yeyote anayeweza kunitumia naomba afanye hivyo tafadhali. Natanguliza shukrani zangu.
Imekuwa ni utamaduni dunia nzima kuazimisha maapisho ya maraisi yakitumia mamilion ya pesa za wenye nchi. Hili ni pendekezo langu iwapo raisi wa tanzania atachaguliwa kwa kipindi cha pili...
Pilika pilika za mwanadamu kila siku zimekuwa zikipimwa na kipato akipatacho ambacho ni fedha za kujikimu maisha yake ya kila siku. Kuna watu ambao kwa mifano hai wanaona bora wasiwe na utajiri...
Wachina Watatumaliza Mwaka Huu
Mkaguzi wa Chakula wa Mamlaka ya Chakukula na Dawa Tanzania (TFDA) Dk. Bahati Midenge akimwaga maziwa jijini Dar es Salaam jana wakati wa uteketezaji wa tani 34...
Kumekuwa na kamtindo cha kupandisha bei ya bidhaa kwa kuwavutia wateja na kuwapotosha bei halisi na kusema ni bei punguzo ili kuwe na nafasi ya kuongeza gharama za ununuaji wa bidhaa hiyohiyo kwa...
Polisi wachukue hadhari operesheni magari ya wizi
Na Mhariri
26th May 2009
B-pepe
Chapa
Maoni
Magari ndani ya eneo la Bandari ya Dar es Salaam yakisubiri kutolewa...
Chinese made phones might hinder TCRA move to burst crime`
By Mgeta Mganga
28th May 2009
A Chinese Mobile Phone
Stakeholders in telecommunications industry have...
Millennium development holes
Nature Vol 446 | Issue no. 7134 | 22 March 2007
The political commitment to helping the developing world is failing to deliver on its promises. The problem is made...
Govts discourage enterprise and penalise those fighting poverty
Tajudeen Abdul-Raheem
The irony of Africa being a very rich continent but Africans being some of the poorest peoples in the...
Ndugu,jamaa na marafiki wa hapa JamiiForums mimi ni kijana ninayeomba msaada wa kueleweshwa njia za kuweza kununua gari zuri.
1.Nivitugani vya msingi vyakuweza kuzingatia katika manunuzi ya...
Rising British Labour Party star quits over expenses scandal : UK World
London - A rising star in Britain's ruling Labour Party Friday became the first member of Prime Minister Gordon Brown's...
Just a few years back, Kochi or Cochin as it was then called in Kerala, Gods own country, was the scene of boats languidly gliding through the waters, Chinese fishing nets silhouetted against the...
Date::5/26/2009
Benki Kuu Tanzania yazuia wabunge kuwemo bodi za mabenki
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
KATIKA hatua moja kubwa ya kuondoa mgongano wa kimaslahi, Benki Kuu Tanzania...
Leo asubuhi Wafanyakazi wa Kitengo cha kupakuwa makontena katika hii Bandari ya Salama wameanza mmgomo wao kufuatie kile ambacho waliona kama kuwa na wasiwasi wa mafao yao pale ambapo kuna tetesi...
ajira imekuwa ngumu sana!
ukimuuliza mzee mzaliwa wa miaka ya 1950 ALIYESOMA atakwambia alipomaliza 'middle-school'alikuta jina lake limetoka kwenye ajira katika wizara tatu...
Wafanyakazi wa Kitengo cha kupakua makontena Bandarini TICTS wameendeleza mgomo wao wa kutokufanya kazi mpaka kile ambacho walikiita "Kujua hatima yao " kama serikali ikiifungia kufanya kazi pale...
Kenyafootball.com has learnt that industrialist, business magnate and billionaire tycoon Chris Kirubi has expressed an intention to buyout the Gateway Television Sub-Saharan Business operation...
Nimetembelea mtandao List of countries by percentage of population living in poverty - Wikipedia, the free encyclopedia
nikitaka kujua nchi ambazo wananchi wake wengi wanaishi katika umasikini wa...