Chinese made phones might hinder TCRA move to burst crime` | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chinese made phones might hinder TCRA move to burst crime`

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kitia, May 28, 2009.

 1. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Chinese made phones might hinder TCRA move to burst crime`

  By Mgeta Mganga
  28th May 2009  [​IMG]
  A Chinese Mobile Phone

  Stakeholders in telecommunications industry have welcomed the decision to register all mobile phones saying the move would help reduce the rampant theft of mobile hand sets.

  However, they say that the influx of Chinese made mobile phones in the local market might render the implementation of the exercise a bit difficult as the items do not have IMEI numbers.

  “It is our hope that when registration of simcards and phones start, it would reduce or alleviate the crime since the stolen phones would be blocked,” Salum Mkusa who owns Twimile Mobile Shop in Kariakoo, Dar es Salaam said.

  However, he criticised the current influx of Chinese made handsets, saying the items did not always carry the IMEI number.

  He said the items would hamper efforts by the state to crack down on crime in the mobile phone technology.

  “Lack of such the number will undermine the government’s decision to track down mobile phone thieves since it would be very difficult to identify the stolen phones,” he said.

  It is estimated more than 2,000 mobile phone hands set are stolen every year in Tanzania and sold to other users.
  Mkusa said crime acts associated with mobile phones were on the increase in the country with the spread of the technology.

  He said people stole mobile phones because there was a ready market in existence, adding that once the registration started it would reduce the unlawful activities.

  He said at least three of the customers purchasing mobile phone handsets from his shop were those who lost their previous units.

  Another mobile shop owner, who preferred anonymity, urged the government to make sure that mobile phone technology is not disturbed or used to provide a loop for more crimes.

  “As you know this is a technology, some people could temper with it, hence make the system fail to detect crime,” he said. “It is our hope that once reported, responsive action should be taken immediately to block new possessors from using the mobile phone,” he said.

  Speaking during the ICT Week in Dar es Salaam last week, Connie Francis, ICT officer with Tanzania Communication and Regulatory Authority (TCRA), was quoted as saying that the regulatory body was busy working on the final details to ensure simacard registration became effective in July, this year.

  She said there was public outcry against theft and misuse of mobile handsets, adding that implementation of the Equipment Identification Register (EIR) would be part of the solution to the problem.

  She said the issue of Central Equipment Identification Register (CEIR) remained one of the potential agenda items in the meetings of East African Regulators, Postal and Telecommunication Operators (EARPTO).


  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  May 28, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Simu za kichina raha sana, zina Bluetooth, memory kubwa, kamera kubwa, tv, radio, zinacheza MP3, MP4, zina ac, friji n.k... Mawaziri wetu wengi nimegundua ndizo walizo nazo, zinalipa sana.

  Tatizo identification yake sijui itakuwaje! Ukiongea dakika zaidi ya 20 basi inakuwa ya moto na unaanza kusikia maumivu ya kichwa!

  Wamechelewa, lakini something can be done as far as I know, lakini watarajie kukumbana na ugumu mkubwa sana kukabiliana na hali hii.
   
 3. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nina simu kadhaa za Kichina ambazo nazitumia. Vivile vile nina baadhi ya simu za Kichina ambazo hazina namba za IMEI. Hizo ambazo hazina IMEI kwa huku ughaibuni haziwezi kukamata mtandao, ukiweka sim card, simu inaandika 'invalid sim'. Hata hivyo kwa simu ambazo zina IMEI number, zinakamata mtandao kama kawaida. Kutokana na habari hiyo hapo juu, inaonyesha kuwa service providers wa Tanzania wanatoa huduma kwa simu yoyote iwe na IMEI au hata haina. Mimi naona tatizo halipo tu kwenye simu za Kichina ambazo hazina IMEI, bali pia tatizo lipo kwa watoa huduma. Watoa huduma wanapaswa kurekebisha mitambo yao ili simu zisizo na IMEI zisipate mtandao.
   
 4. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kuna baadhi ya watengenezaji wa simu nzuri kama Anycool, simu zao ni nzuri sana na hizo zina soko kubwa sana Ulaya.
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha,

  Mimi ninayo moja ina tv, birika, chandarua na mashine ya kunyolea ndevu!!!


  Seriously, hii kitu ya registration za simu inahitajika lakini isiwe ya lazima. Hii nchi wanataka kuifanya iwe ya kidikteta kuliko hata North Korea.

  Swala hili tulishaliongelea pahali, ngoja nitafute thread yake.... Tanzania tunafukuzana na teknolojia. Na pahala pengi kwenye maamuzi yanayohusisha teknolojia na mienendo ya jamii kisheria, tunachemsha, kutokana na kuokoteza okoteza ushauri na maamuzi kwa ajili ya maslahi ya wachache na siyo Umma. Watanzania walio wengi ni mara chache sana wanashirikishwa kwenye maamuzi. Safari hii sheria zimetungwa tena ili kushindana na teknolojia. Kipi kitashinda? Teknolojia.
   
 6. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kabla ya mambo yote haya serikali ingefanya kitu kimoja ambacho ni raisi sana
  kuhakikisha wizara zote zinatumia mitandao ipasavyo na hizo website zinafunguka kila wakati na information zipo update
  siyo mtu ukitaka form mpaka uende wizarani ambapo fomu hiyo hiyo inaweza ikawekwa online mtu akai print
  leo hii ukitaka passport unaambiwa nenda wizarani maana yake form zina serial number, eti ili wajue watu wangapi wana apply
  kwa nini watu wasirudishe form alafu ndio serial number itolewe kama mahali popote pale duniani wanavyofanya
  mchukua form akipata ajali nae atakuwa ameshahesabiwa
  nikichukua form mwanangu akiimwagia mchuzi wa samaki .......
   
 7. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ni mbinu za kuongeza kodi ya subscribers otherwise fedha za mradi zitarudije?
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Na haya yote yanafanyika kwenye capital city yetu, Dar.... huko kwenye halmashauri za wilaya na uzembe ndani ya manispaa ndiyo usiseme. Mabilioni yanayopotea kutokana na uzandiki na ukiritimba ni mengi. Solution za haya mambo kwa kweli zitakuja patikana wakati vitukuu vya vitukuu vyetu vitakuwa na vitukuu!! Disheartening to say the least.
   
Loading...