Pesa ni mkombozi au chanjo cha matatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa ni mkombozi au chanjo cha matatizo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Limbukeni, May 31, 2009.

 1. L

  Limbukeni Senior Member

  #1
  May 31, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pilika pilika za mwanadamu kila siku zimekuwa zikipimwa na kipato akipatacho ambacho ni fedha za kujikimu maisha yake ya kila siku. Kuna watu ambao kwa mifano hai wanaona bora wasiwe na utajiri kiasi fulani ili kupunguza matatizo fulani, wengine wanaona waatakiwa wawe na pesa ili watatue matatizo yao fulani katika maisha. Je pesa ina umuhimu gani au haina umuhimu gani kwa makundi yote hayo.
   
  Last edited: May 31, 2009
Loading...