HiTS Tanzania kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HiTS Tanzania kulikoni?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Oloronyo, Jun 1, 2009.

 1. Oloronyo

  Oloronyo Member

  #1
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Erooo Wana JF! Nilikuwa Umasaini kwa muda,na nimerejea mjini.
  Nina swali nataka uliza hii kampuni HiTS Tanzania ambayo ipo chini ya Excellentcom (T) Ltd Kulikoniiiii?:confused: Mlisema mtaanza huduma mwanzoni mwa mwaka huu 2009 kimya?:confused:Mwezi wa tano 2009 kimya?:confused: Kulikoniii? TCRA kuna lolote la kutueleza?
   
 2. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimepata taarifa wanaanza kazi mwezi huu tarehe 15.
   
 3. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Una maanisha tarehe hii mwezi wa 15....lol

  Na Big R sidhani kama wanaubavu.
   
Loading...