Ushauri wa gharama kwa serikali ya JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa gharama kwa serikali ya JK

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Limbukeni, May 31, 2009.

 1. L

  Limbukeni Senior Member

  #1
  May 31, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imekuwa ni utamaduni dunia nzima kuazimisha maapisho ya maraisi yakitumia mamilion ya pesa za wenye nchi. Hili ni pendekezo langu iwapo raisi wa tanzania atachaguliwa kwa kipindi cha pili ataapisha chap chap aanze kazi zisitumike gharama zozote za kumualika mtu yeyote. Matatizo ya wenye nchi yanatualika kila kona tunabaki kuyakimbia .
   
Loading...