Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Dar firm gets $40m to roll out mortgages Tanzanians who have long dreamed of owning their own homes could soon benefit from an initiative to make mortgages widely available as a way of...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Venance George, Morogoro TANZANIA katika kipindi cha huu wa fedha, imezalisha kiasi cha tani 60,741 za tumbaku badala ya lengo la kuzalisha tani 75,000. Hayo yalisemwa juzi na Mkurugenzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bwana JK, uliahidi kitu leo kuhusu TRL kule tabora!!! vipi ndugu yetu, when will you be reliable??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwaka na ushee umepita tangu kampeni ya kukusanya mitaji kwa ajili ya kuwekeza NMB umepita sasa, lakini kimya! Nakumbuka walikuwa wanadai wamekusanya kuzidi malengo na watawarudishia wengine pesa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
INA MAANA AFRICA WATU WANA VIJISENTI TUUUUUUUUUUUU AU SISI TUNAISHIA KWENYE MADUBWAI NA KINA NANI? RANK NAME CITIZENSHIP AGE WORTH $ BILLION 1 Carlos Slim Helu & family Mexico 70 53.5 Mexico...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa EAC, Balozi Juma Mwapachu. Rais Jakaya Kikwete, amesema reli za nchi za Jumuiya Mashariki (EAC) zimechakaa sana na zimepitwa na wakati kwa kuwa tangu wakoloni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimeazimia kujenga mtandao wa reli utakaoziunganisha kwa lengo la kuimarisha usafirishaji wa kikanda ili kukuza uchumi na maendeleo ya jamii.Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani WanaJF nisadieni tokea nianza kazi kama miaka mitatu iliyopita sijawai kuapply mkopo wowote. Nimesadia wafanyakazi wangu wa chini kupata mikopo kutoka kwenye bank moja ambayo ndo uwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu nimeona siku za karibuni kama vile gharama za kupiga simu -mobile zimeongezeka. Dakika moja inalamba 500. Je wenzangu mmeliona hili au ni mimi tu ? Voda , na hata Zain. What is happening...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Zantel imezindua promosheni ya CHOMOKA NA VESPA maalum kwa wakazi wa Zanzibar. Promosheni hii itawawezesha wateja wa zantel kisiwani humu kupata nafasi ya kujishindia pikipiki aina ya Vespa ambayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
For many Tanzanian Entrepreneurs exclusive distributors,is one head-ache that you have to go over before ever thinking of becoming successful,or otherwise you should bend and adhere to this...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANAMAZINGIRA FEKI” NA UENDELEZWAJI WA VIWANJA VYA UFUKWENI ENEO LA MASAKI Hivi karibuni Halmashauri ya Kinondoni kwa ushauri wa Rais Kikwete, kuhusu umuhimu wa kuviendeleza viwanja vya wazi eneo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cisco Says New Router to "Forever Change the Internet": The Question Is 'When?' Related: CSCO, T, VZ, S, QQQQ, GOOG, ^IXIC Editor's note: Cisco made headlines today announcing a next...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimewahi kusikia malalamiko kuhusu uhifadhi wakati wa kusafirisha samaki wabichi kutoka baharini na maziwa mbalimbali kwenda masafa ya mbali yaliko masoko ya bidhaa hizo katika miji mbalimbali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
BP ceases its Tanzania operationsBy The Citizen Reporter and Agencies BP Africa�s Chief Executive Sipho Maseko announced on Tuesday that BP was quitting the Tanzanian market following a...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Ndugu zangu naomba msaada anataka ni anze biashara yaa hardware yaa electricity equipment, construction equipment, agriculture equipment, nataka nitoe kutoka china na Europe, nataka nianzishe...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kumekuwa na ongezeko la watu wanaotaka kujua ni jinsi gani ya kujiajiri wenyewe, namaanisha kama mtu mmoja au kama kikundi. Naomba tutumie andiko hili hapa kufundishana ni jinsi gani, mbinu zipi...
0 Reactions
66 Replies
12K Views
Let me give you some advice… In the fast moving, hypercompetitive inflection point that is business today, only the strong will survive. You need to get with the program or get eaten alive...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I thought ni muhimu kushare hii habari ya the Guardian la jana. Economists have challenged the government plan to issue small scale entrepreneurs with empowerment funds for the second phase...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hizi ndiyo hali za migodini mingi nchini ambayo Watanzania wanajitafutia riziki, (Picha kwa hisani ya the East Africa). Maoni yangu ni kwamba uchimbaji wa namna hii si endelevu (subsistance). Si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom