Tourism Campus to Be Opened May | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tourism Campus to Be Opened May

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Prodigal Son, Feb 5, 2010.

 1. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 971
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Tourism campus to be opened May………
  Al-amani Mutarubukwa

  The National College of Tourism (NCT) is set to move to its new campus in Dar es Salaam in May following the completion of the construction of the Sh8 billion facility.

  Speaking in Dar es Salaam at the launching of the Kempinski scholarship programme, NCT chief executive Agnes Mziray said the campus had been ready for use since early this year.
  However, its opening was delayed by the lack of equipment for practical training, which has since been procured.

  �We are anticipating that the equipment will arrive any time from today and as soon as the whole installation process is completed, the college will be opened," she said.

  The campus in Dar es Salaam's central business district, whose construction has been funded by French government, has a capacity to admit 500 students.

  The college is set to introduce level seven (equivalent to an advanced diploma), level eight (equivalent to a bachelor�s degree) and German course as part of efforts to meet the growing demand for human resources in the tourism industry.

  "It is still early to tell when the new levels studies will be offered as it needs enough time to develop the their curriculum and learning program but soon we are going to have stakeholders like Kilimanjaro Hotel Kempinski participating in that," said Ms Mziray.

  Meanwhile, Kilimanjaro Hotel Kempinski has awarded scholarships to the three top students who completed Level 4 and 5 courses recently at the college. The awards were part of the hotel�s introduction of an annual scholarship programme that seeks to reward best performers at NCT and contribute to groom skilled labour in the industry.

  �In a short time, Tanzania has climbed the ladder to have many international tourism infrastructures, but that is not enough. The country should make sure it has competent staff in the hospitality industry,� said Mr Reto Wittwer, president of Kempinski Hotels


  http://www.thecitizen.co.tz/newe.php?id=17196
   
 2. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 971
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  pesa zilitolewa karibu miaka 10 imepita, kutokana na uzembe, kulindana serekalini mpaka leo chuo hakijafunguliwa, Wakenya wataachaje kuajiriwa kwenye mahoteli ya TZ, ni ukweli usiopingika kwamba huduma zinazotolewa na mahoteli mengi ya TZ ni mbovu kabisa,na cha kusikitisha zaidi hizi hoteli Kubwa hakuna meneja Mtanzania hata moja na tusitegemee hilo kwa miaka lukuki ijayo, Huyu mama Agnes(CEO) ni wafaransa walimkataa lakini Wakubwa wanamuona lulu. ikumbukwe kati ya sector ambazo zinaweza toa ajira nyingi saana ni hospitality nani na naamini serekali wanalijua kila mtu kafumba macho. Ngoja wakenya waendelee kutufumbua na tusipokuwa makini watutawale kabisa
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 43,153
  Likes Received: 27,131
  Trophy Points: 280
  kwa nini wafaransa walimkataa huyo mama? then kwani wakiwekwa mameneja watanzania watalii watakuwa hawaji kwenye hizi hotel zetu??
   
 4. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mawazo kama yako ndiyo yanayosababisha sector nyingi nchini kudorora na kutokua na tija inayotakiwa (daktari wa mifupa anakuwa waziri wa Michezo,afisa kilimo anakua manager wa bank,yeyote anayeweza endesha gari anakua dereva wa mabasi ya abiria!!what do you expect to happen in these sectors????? i'm sure u have a very correct answer.....Tanzania hatuna watalaamu wa sector ya utalii sasa we unazani watalii wanakuja kwa msaada wa Mungu? Hotel services with high quality ndiyo kitu muhimu sana kwa watalii na manager wa hotel anatakiwa awe na proffesional ya Utalii ili aweze iongoza hotel kwa kiwango kinachotakiwa.....kama wapo watanzania wenye sifa na proffesional wapewe umeneja wa hotel lakini kama hawapo kamwe hao wawekezaji sio kama wabongo hawana tabia ya kuwekana ovyo ovyo tu kisa mwajuana....weka mameneja wa hotel wasio kua na sifa then uone watalii kama kesho watakuja tena.......jiulize swali la kawaida kabisa kwa nini watu wapenda kwenda ile bar na sio ile pale?.....i bet now u understand what i'm talking about.....
   
 5. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 971
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Kimsingi huyu mama hana sifa hata kidogo na hataki kufanya kazi na watu wanaompa changamoto, kuna vijana kama 6hivi waliokuwa wamefuzu na moja nadhani ni Mtanzania pekee aliyekuwa na masters ya hospitality aliwa frastrate wote wakaacha kazi,

  Ndugu kinachopiganiwawakekezaji wajenge hoteli then wawaajiri Watanzania kwa kufanya hivyo multiplier impact ya utalii yatakuwa makubwa saana,Mtalii anapokuja yeye anachotegemea ni huduma nzuri tu na hawaangalii kingine. Hali ilivyo kwa sasa kwenye senior position kwenye haya mahoteli makubwa Watanzania hawapo kabisa, wamejazana wakenya, wahindi nk

  Lengo la wafaransa lilikuwa ni kusaidia ili kusolve hili tatizo,kwa kutrain vijana wengi wa kitanzania ili waweze kuziba hilo pengo
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 43,153
  Likes Received: 27,131
  Trophy Points: 280
  Kivipi sasa oasema Tanzania haina wataalam wa hio sekta.???
  Nyinyi si ndio mnasema TZ hakuna ajira?? ajira gani sasa ambazo mnazisema?? uhasibu?? kwani watz wote wamesomea uhasibu??? sasa kama haoa ajira hao waindi mnaowasema na wakenya wanafanya nini sasa hapo??&@$¤¿
  ok. basi tuseme hiviiii TZ kuna ajira sema waTZ tuna roho mbaya sana hatujipendi tunadharauliana na kuwahusudu wageni.au tuseme ...?
   
 7. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 971
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  sector ya utalii imegawanyika ninayoizungumzia hapa ni moja ya subsector within the tourism industry ambayo ni ,hospitality: TANZANIA HATUNA WATAALAMU HAO,

  Mfano kwenye hoteli wahasibu, maengineer, computer technician, wanatakiwa hawa hawadeal na client moja kwa moja,

  wanoshughulika na wageni ni wapishi, receptiionist, housekeepers etc, hawa wataalamu hawapo, na hapa ndo wafaransa walitaka kusaidia, Mpishi mkuu wa hoteli kama kempinski mshahara wake unamzidi waziri, same applied kwa wale ma senior staff kama food and beavarage managers, front ofice managers, executive housekeepers hawa wengi kwa mahoteli kivbao wanatoka Kenya na India
   
 8. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Source allafrica.com

  Tourism Campus to Be Opened May

  Al-amani Mutarubukwa 4 February 2010
  Email|Print|Comment
  Share:

  The National College of Tourism (NCT) is set to move to its new campus in Dar es Salaam in May following the completion of the construction of the Sh8 billion facility.

  Speaking in Dar es Salaam at the launching of the Kempinski scholarship programme, NCT chief executive Agnes Mziray said the campus had been ready for use since early this year. However, its opening was delayed by the lack of equipment for practical training, which has since been procured.


  The campus in Dar es Salaam's central business district, whose construction has been funded by French government, has a capacity to admit 500 students.


  The college is set to introduce level seven (equivalent to an advanced diploma), level eight (equivalent to a bachelor's degree) and German course as part of efforts to meet the growing demand for human resources in the tourism industry. "It is still early to tell when the new levels studies will be offered as it needs enough time to develop the their curriculum and learning program but soon we are going to have stakeholders like Kilimanjaro Hotel Kempinski participating in that," said Ms Mziray.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 43,153
  Likes Received: 27,131
  Trophy Points: 280
  Hoja inabaki palepale kuwa Tanzania ajira zipo nyingi tu.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...