Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by qq0452, Feb 3, 2010.

 1. q

  qq0452 New Member

  #1
  Feb 3, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmoja wa directors wa jambo leo ni BENNY KISAKA ambaye ana elimu ya DARASA LA SABA huyu ni mpiga picha wa majira na alikuwa chini ya mpiga picha mkuu wa gazeti gazeti la majira wakati huo-RICHARD MWAIKENDA ,mwaikenda- hawa wote wamefukuzwa gazeti la majira na sasa richard mwaikenda ndio mpiga picha wa Gazeti la JAMBO LEO.

  Zaidi tuu kuhusu huyu BENNY KISAKA ni kuwa toka miss tanzania imeanza mwaka 1994 yeye amepewa uwakilishi wa kitongoji cha temeke yaani HASHIM LUNDENGA kashindwa kumuani kusimamia ngazi ya mkoa licha ya kuwepo toka 1994Lundenga mwenyewe anasema jamaa hana ubunifu!

  Haya mhariri mkuu wa gazeti la JAMBO LEO ni BONIFACE WAMBURA huyu alikuwa akiandikia michezo gazeti la majira akatimuliwa kwa tabia zake za ufisadi.

  Na kaimu mhariri wa habari ni EDSON KAMUKARA aliyemaliza nyegezi miezi sita iliyopita hana uzoefu na hajui kazi…aliandaliwa interview na jamaa wa pale BOT akaingia mitini watu BOT walimsubiri weee mpaka!
  Mhariri wa makala JOACHIM MUSHI ambaye ni binamu yake kisaka nae hana uzoefu wa kazi wala elimu, mhariri wa michezo WILLY EDWARD alifukuzwa gazeti la majira kwa sababu ya wizi akawa misheni town kwa muda mrefu.
  By the way mpiga picha RICHARD MWAIKENDA ndiye aliyekuwa bosi wa benny kisaka majira kabla hawajafukuzwa wote. kwenye michezo kuna EDWARD KUMWEMBE huyu naye kafukuzwa habari corporation kwa kutokujua maadili ya kazi na kuheshimu mkataba wa kazi alikuwa habari corporation halafu anaandikia magazeti mengine ya mitaani. RUHIGO akamtimulia mbali.
  swali gazeti hili la kila siku limasheheni waaandishi ambao wamefukuzwa kwenye vyombo vingine na limeshindwa kuchukua wataalam wa habari,wameshindwa kujifunza kwa mbowe wakati anaanzisha tanzania daima alichukua watu toka kona mbali mbali ili kupata flavour….
  Sasa kichekesho ni mwenye Gazeti hili mwenyewe jina lake halipo hata sehemu moja na kijana ambaye ni msomi tuu lakini cha ajabu huyu bwana hapo chini ndiye anamweka front kumfanyia mambo yake…kwa madai kuwa washajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2010 kwa mtazamo kuwa hili gazeti litakuwa leading daily paper in Tanzania within 6 months
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,193
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mkuu Nimeupenda uchunguzi wako! Unaonesha uozo ktk uongozi wa gazet hili
  On top of that naonelea unafaa kuwa mmoja wa viongoz ktk hili gazeti au we mkuu kwa sasa unafanya kwa niaba ya gazeti gani?!
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  oooooooooooops ndo maana vichwa vya habari vya haya magazeti huwa mushkeri tupu
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 25,386
  Likes Received: 26,206
  Trophy Points: 280
  FL1, hujaelewa motive ya hii thread?
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  nahisi ila mie nilivyoona darasa la saba nikajua 1+1 sawa sawa na moja
  ndo maana magazeti mengine yanakosa muelekeo hasa katika muongozi ngoja nisome tena
   
 6. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ukianza kuchunguza taaluma za wanagabari zetu ukweli ni kwamba nyingi zinatia shaka.

  Mbona umezungumzia Jambo leo tu???au una visa nao ??hao watangazaji wa ITV unazijua taaluma zao??hao wengine waliokuwa wanakata viuno kwenye Jackpot Bingo wengi si ndo watangazaji wa ITV??mbona hujasema ....wale waigizaji wa michezo ya Runinga je au huwajui??...na magazeti mengine je?? Mimi nahisi mwandishi ana chuki binafsi
   
 7. N

  Nanu JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  qq0452, wewe umetumwa na majira au ni kibaraka wa majira au ni mfanyakazi wa majira. Uchambuzi wako hauko independent na umeelemea upande mmoja. Haiwezekani watu wote wa gazeti hilo wakawa wabaya au hawajasoma au wezi. Kama wezo si wengeshitakiwa? Acha unafiki na kuharibiana pasipo na maana. Napenda kuchangia threads lakini zisizo na unafiki. Hii yako ni unafiki mtupu!!!!!!
   
 8. N

  Nanu JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nawe unavisa na ITV, waandishi wengi wa ITV wamesoma. Ndiyo maana TBC inakimbilia huko kupata wanahabari (akina Jerry, Mnete, etc). Wengi wa waandishi wa ITV ni professionals. Tofautisha msomaji wa habari au mtangazaji na mwandishi wa habari!!!!! Nawe yaonekana huna tofauti na qq0452!!!! unafiki mtupu. Lets discuss performance not people!!!!!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  kaaz ipo
   
 10. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,425
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  Nijuavyo pale majira wamepita watu weeengi sana nadhani ni kwa vile lilikuwa miongoni mwa magazeti binafsi kuanzishwa.

  Waandishi wengi ( tuwaite reporters) wamepita pale na wengine wanaandikia magazeti makini hatujui ni kipi huwaondoa huko (majira).
  Lakini kila mnyama na hasa walao nyasi na majani hupenda yalo kijani

  Tujaribu kuwahukumu kwa makala zao kama hazina logic na sio walifany nini hiyo ni personal assassination
   
 11. Prisoner

  Prisoner Senior Member

  #11
  Feb 3, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nanu. wewe hujui Historia unachotakiwa ni kukaa kimya unaleta unafiki hapa jamvini. eti Jerry Muro alitokea ITV sio kweli Jerry Muro alitokea TBC alikuwa anatangaza kipindi cha Music ya nyumbani mchanganyiko na nani asiyemjua kwani aliwekwa pale na Shangazi yake na hapo ndipo akaanza kusoma alipomaliza kusoma tu akakimbilia ITV sasa kule mambo yamemshinda sababu walikuwa wanamnyima ruhusa ndio maana amerudi TBC ili atimize azma yake ya kusoma diploma maana anayo certificate. Usiwe mtu wa majungu majungu umetumwa nini. waache watu watoe dukuduku yao yalio rohoni kama unaona haikuingii akilini kanunue hilo gzeti uwapigie simu kuwa kunawatu wanawasema au ndo wewe miongoni mwao.
   
 12. M

  Mchili JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Yaani wewe umejiunga JF leo ili ulete umbea wako kutoka Majira kuwadis mliogombana nao?? Kama hawafai kwa nini hiyo Majira waliwaajiri?? Acha upumbavu this is too personal, unawataja watu kwa majina.

  Kama wameamua kujiajiri na kuachana na unyonyaji wenu, leave them alone - peiod.

  qq0452
  Junior Member
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join Date: Wed Feb 2010
  Posts: 4
  Thanks: 0
  Thanked 0 Times in 0 Posts
   
 13. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ahh!!! Mnajadili mada au mnajadiliana?? Kuweni wastaarabu Jadili thread iliyotumwa na mwana JF kwani mlimpokea na mkamkaribisha sasa mnamjadili kwanini?? Mwacheni jadili mada na wewe fanya uchunguzi wako lete hapa tumeshawajua hao hatununui magazeti yao
   
 14. M

  Mchili JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu mtoa mada mwenyewe kaileta kwa kujadili watu. Pamoja na kwamba level ya elimu ni muhimu katika taaluma, lakini haina maana kwamba darasa la saba ni wajinga. Pengine alikosa tu nafasi ya kupiga madarasa na ana uwezo wa kujifunza kwenye field na kufanya kazi nzuri kuliko wenye veti vya kuchungulia kwa wengine au kukariri past papers.

  Kama wameweza kuji-organize na kuanzisha gazeti lao, utajuaje kama wanatumia wataalam kuedit kazi zao? na huo ndio ujasiriamali. Kama gazeti linatoa habari mbovu tuwahukumu kwa hilo.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...