Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu, reliable news ni kwamba wafanyakazi wa kivuko kati ya magogoni na kigamboni wana mgomo baridi kwa sababu mbalimbali zinazohusu haki zao it has hit hard watu wa kisiwani na nadhani kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada kutoka kwa wenzetu wataalam wa uchumi kunielimisha juu ya hili suala la ‘short-notice mandatory imposition of minimum wage’ katika sekta binafsi. Je uamuzi wa namna hii ambao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF nisaidieni, nilalamike wapi? Narudisha watoto wangu shule na mwingine mmoja anaanza shule, kufika tu shuleni naambiwa ada ni dola za kimarekani kadhaaa, nashangaa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
In February 2010, Barrick announced plans to spin off its Tanzanian operations into a separate company, African Barrick Gold (ABG). A 25% stake in ABG will then be listed via an IPO in London...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wan JF. Kwa kichwa cha habari hapo juu, napenda kuwasilisha. Tanzania ni nchi kubwa sana na yenye uwezo wa kutajirika vema ikiwa viongozi wetu watawajibika kama inavotakiwa na kuacha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The Bank of Tanzania has started a process of establishing an ATM national switch which will enable all people with ATM cards to access money from any ATM machine of any Bank in the country...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wednesday, 21 April 2010 19:36 0diggsdigg Frederick Katulanda, Dodoma MIFUKO ya Hifadhi ya Jamii Nchini, imekubaliana na Shirika la Umeme Tanzania(Tanesco), kuwekeza mabilioni ya fedha katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakubwa, sisi wengine hatupo hapo bongo kwa sasa, kutokana na kazi zetu. Nilikuwa naomba kuuliza, hivi bunge la tz linakaa lini? na kama tayari, WABUNGE WANALIONGELEAJE SUALA LA TZ KUTUMIA MAJI YA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna habari, iliyoandikwa na Daniel Mjema kutoka mjini Moshi (Mwananchi, 4/16/2010), yenye kichwa, Sheria ya DSE imechafua sifa ya nchi: MWENYAKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya simu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiongea na wanahabari wakati wa uzinduzi wa huduma ya Habari ndiyo hii ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde hivi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kiunganishi: http://chahali.blogspot.com/2010/04/mabalozi-wa-utalii-muhimuuzalendo.html Majuzi Rais Jakaya Kikwete alimteua Doug Pitt,mdogo wa staa wa filamu Brad Pitt,kuwa balozi wa heshima...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF: Natarajia kujenga nyumba za kukodisha (2-3 bedroom flats) mwaka ujao. Ninatafuta architect anisaidie na uchoraji, na materials analyst anisaidie na bajeti. Naomba mnisaidie na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The World's Most Expensive Stuff 2010 by Venessa Wong Tuesday, April 20, 2010 provided by The Rich Spend Richer More from BusinessWeek.com: • Art to Cigars: A Shopping List for the Superrich...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna kampuni moja imedai imeshalijenga daraja la kigamboni, pitia tovuti hii === The project covers the feasibility study for the construction of Kigamboni Bridge in Dar Es Salaam, Tanzania. The...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Mishahara sekta binafsi Tucta yashtukia danganya toto Send to a friend Tuesday, 20 April 2010 22:30 0diggsdigg Patricia Kimelemeta na Voina Maganda Kapuya SERIKALI, ambayo inahaha kujaribu...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Skandali ndani ya Kanisa Katoliki, hasa katika Nchi Zilizoendelea za Ulaya Magharibi na Amerika, inazidi kuchanua kiasi cha kumhusisha Papa Mtakatifu wa sasa alipokuwa Padri huko kwao Ujerumani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Send to a friend Tuesday, 20 April 2010 07:42 0diggsdigg Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkullo Na Mwandishi Wetu TANZANIA imeshapoteza Sh11.6 trilioni, ikiwa ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna tetesi ile kampuni ya mabasi iliyoanza kwa kishindo ya Scandnavia Express yaelekea ukingoni. 1. wamesimamisha hudauma zote za usafiri wa mabasi 2. wafanyakazi wote wamepewa likizo ya miezi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
By Sam Nagarajan April 19 (Bloomberg) Bharti Airtel Ltd. fell as much as 2.2 percent in Mumbai trading as it held...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kuwashauri ndugu zangu tuwe na utamaduni wa kununua bidhaa kutoka kwa Wamachinga au vijana wa mitaani, sababu kubwa ni kama ifuatavyo; 1. kuunga mkono kazi zao ili wasikate tamaa ya maisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…