(huzuni)VIVUTIO VYA UWEKEZAJI KWA WAGENI TU?

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,972
3,830
Tunaona jinsi wageni wanvyopewa mazingira mazuri ya uwekezaji ili wafanye biashara zao na kupata faida! ZIRO TARIFF/TAX HOLIDAY ni baadhi tu mazingira ya kuwavutia wawekezaji wa nje na wakubwa. Swali na hoja yangu ipo kwa wawekezaji wadogo na wa ndani, je nao wananufaika na vivutio hivi? au wao ndo wakufatwa na MAJEMBE na kunyang'anywa mali zao? je nao wanakipindi cha miaka mitano ya kutolipa kodi wakiangalia biashara inavyokwenda na baadaye kubadili jina la biashara yao?Au yeye ni wakulipa kodi kwanza kabla hata hajafanya biashara yenyewe?...MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA/MGENI......(?) NDC ina kazi gani?
 
Back
Top Bottom