Maelezo ktk Label ya BIA zetu

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
SAFARI LAGER: Jua linapochomoza kama wasifu wetu wa kazi yetu, fahari yetu. Japokuwa kuna mitihani mingi mbele, ushirikiano wetu umetuimarisha tayari kwa yote yajayo. Na sasa, kuna tuzo moja stahili imekamilika na yenye ladha iliyokamilika. Kwa watu wenye dira, hii ni zaidi ya bia. Maelezo hayo yananivutia sana, sijui kwa bia nyingine yanasemaje.
 
Back
Top Bottom