MGOMO BUBU FERI - More of economic subotage

KIWAVI

JF-Expert Member
Jan 12, 2010
1,817
699
Wakuu,

reliable news ni kwamba wafanyakazi wa kivuko kati ya magogoni na kigamboni wana mgomo baridi kwa sababu mbalimbali zinazohusu haki zao

it has hit hard watu wa kisiwani na nadhani kwa namna moja au nyingine ni victimization... binafsi napenda sana haki na naelewa matatizo ya hawa jamaa hasa wanapopangiwa night

Ila ningependa kuwashauri kwamba wangejaribu kumolize viruzi mipango yao ili wasiweke uadui wa moja kwa moja na jamii ya kisiwani

Pia si vibaya wangeunganisha nguvu na ule mgomo wa TUCTA kwani yale ndiyo madai mama na yata-address hata issue zao

kwa mnaowafahamu kwa karibu naomba muwape ushauri kwamba wanaoumia hawana hatia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom