Wandugu kuna ndugu yangu kaibiwa fedha zimechotwa kwenye account yake na kuwekwa kwenye account za watu wawili tofauti, Hili limetokea bank ya NMB halafu wahusika wa bank wamepewa taarifa lakini...
serikali ya mtaa wa Oysterbay inatoza ushuru wa ku park magari coco beach Tsh 700
Hizi pesa zinaishia wapi?
Ili serikali ya mtaa itoze ushuru wa maegesho , bylaws zinatungwa au ni wazo la...
Wakuu naomba kwa wenye uzoefu watujuze juu ya uimara na ubora wa gari hizo mbili. Ni ipi inaweza kufaa zaidi katika biashara ya kubebea maji maeneo ya Mbezi beach na salasala Dsm?
jamani wadau natafuta hizo battery baada ya zile nilizokuwa nazo kuisha.nimejaribu kutafuta sehemu mbalimbali bila mafanikio.anayefahamu wapi napoweza kuzipata tafadhali!
Kushindwa kwa serekali kusimamia uwajibikaji kwa umma kumesababisha Ugumu wa maisha nchini kwetu. TRA kama moja ya vyombo muhimu sana katika uchumi wa nchi imekuwa ndio kikwazo kikubwa sana cha...
Unainua simu yako bila kujali upo nchi au nchi ya nje unaamua kumpigia jamaa yako aliopo TIGO wakati unasubiri muito wa simu, ghafla unasikia kwa kuchagua nyimbo bonyeza moja.
Huu na mitindo...
Kesho mh john mnyika atafanya mkutano wa hadhara viwanja vya tanesco kesho nasema tena tena mpaka kieleweke tukutane kesho wale wote nyumba zitakazovyunjwa bila malipo'matatizo ya maji'na mengneyo
<LI class="uiUfiComment ufiItem comment_197147006970720 " id=comment_197147006970720> TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
VIWANGO VIPYA VYA JUU VYA NAULI ZA MABASI YA DALADALA KATIKA JIJI LA DAR ES...
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=24354&d=1299249745&thumb=1&stc=1
TUPO MUDA WOTE ORDER YOYOTE INAKARIBISHWA BEI NI NZURI KABISA KWA UJUMLA NA REJAREJA.
SEND EMAIL HAPA...
WAMILIKI wa Daladala Mkoa wa Dar es Salaam (DARCOBOA) wamesema kuna uwezekano wa kupandisha nauli za daladala kutokana na kupanda kwa bei ya vipuri vya mabasi ya usafirishaji wa abiria...
Kampuni ya simu ya zantel kila ukinunua muda wa maongezi wanatuma msg ya ofa ya muda wa kuongea kulingana na pesa yako. Jana tarehe 2/3/2011 niliongeza sh. 5,000 kwenye simu yangu. Ilikuwa na...
Hivi ni kwanini majeshi yetu yasiwe na mradi wa kuazima sare na vifaa vyao vingine, kwa malipo, kwa film industry ya Bongo ili yajitengenezee kipato? Si lazima waazimishe silaha zifanyazo kazi.
Habarini wanajamvi.... Nasikia kwa sasa Canada ndio nchi pekee inayolipa kuishi na kujiendeleza kijasiriamali.... Kwa sababu Canada its the 2nd largest country in the world with less population...
Buying new instead of used. Talk about a spending leak -- or, rather, a
gush. Cars lose 20% of their value the moment they're driven off the lot and
65% in the first five years. Used models can be...
""By printing extra notes, a government increases the total amount of money in circulation. If that is not followed by an increase in production, there is more money to spend on the same amount of...