Mradi kwa Majeshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi kwa Majeshi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The Pen, Mar 1, 2011.

 1. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kwanini majeshi yetu yasiwe na mradi wa kuazima sare na vifaa vyao vingine, kwa malipo, kwa film industry ya Bongo ili yajitengenezee kipato? Si lazima waazimishe silaha zifanyazo kazi.
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  wazo lako ni zuri lakini haliendanio na kichwa cha habari yako.
  Mimi kwa haraka nilijua unataka kuongelea kuanzisha majeshi au jeshi lako
  teh teh basi kila mtu kumbe anageweza kuwa na kajeshi kake.....(just kidding)
   
Loading...