Benki kuu ya Tanzania hawalijui hili kweli.....?!

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,077
""By printing extra notes, a government increases the total amount of money in circulation. If that is not followed by an increase in production, there is more money to spend on the same amount of goods and services as before. Everything costs more, thus our money is worth less"".

Read more: How Does Printing Currency Devalue the Dollar? | eHow.com How Does Printing Currency Devalue the Dollar? | eHow.com

Kama wanalijua, wametumia vigezo gani kuongeza idadi ya noti za pesa kwenye mzunguko wa fedha?. Ningewaelewa kama wangezuia matumizi ya noti za zamani.
 
:mullet: BOT imejaa MBA holders, wanalijua hilo,swala la kuchapa noti ni la kisiasa zaidi,halikuwa la kiutaaalam wala ufundi
 
Mkuu inaonekana hukusoma waraka wa BOT kuhu uchapishaji wa noti mpya, ungekua mchumi ungeelewa,

alaf unavyosema BOT wamejaa MBA holders unakosea, most of them ni Finance and Economics masters
 
BOT printed 'new' notes to replace 'old' notes.

Hapo wanafanya a change in currency and not injection of currency in the economy.

Soma kwanza usikurupuke.

Alaf inflation ya Tanzania kwa sasa ina sababishwa na a rise in cost of production, (cz umeme umepanda na viwanda vinatumia power generators). Prices of goods zinapanda e.g. sugar ikipanda bei inasababisha chai, mandazi, keki, and everything using sugar as input kupanda bei.

Nilishasema tangu mwanzo we should expect a fall in the value of Tz shilling kwa asilimia kubwa. Kwa wale mlio na Tsh. in bank accounts, I advise you mziweke in US $ ASAP. We are not heading in a good direction economically ( Umeme hamna therefore hamna production, tunabadilisha noti, Govt induced so much money in the ecoconmy during general elections, internal revenues through TRA ni ndogo sana, oil price imepanda in world market, gold price imepanda in world mkt, alaf nchi wahisani wanapunguza misaada kwa Tz)

Jana one US $ was sold at Tsh. 1522. Natabiri itafika 1800 by the end of this year

For the geniuses, its the best year to make super normal profits.
 
hapo kwenye red mkuu,je waweza kutufafanulia kidogo huo waraka ulikuwaje na ulikuwa unasema nini??
 
Thanx sitasita kwa uchambuzi yakinifu,
the message is well received.

Back
Top Bottom