Isuzu nkr & mitsubishi canter ipi inafaa zaidi kwa biashara ya kubebea maji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Isuzu nkr & mitsubishi canter ipi inafaa zaidi kwa biashara ya kubebea maji?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mjasiria, Mar 3, 2011.

 1. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Wakuu naomba kwa wenye uzoefu watujuze juu ya uimara na ubora wa gari hizo mbili. Ni ipi inaweza kufaa zaidi katika biashara ya kubebea maji maeneo ya Mbezi beach na salasala Dsm?
   
 2. g

  gudchaz Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mitsubishi Canter ndo iko poa sana...
   
 3. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu hivi hata Mbezi beach wana shida ya maji kiasi cha kutegemea maji ya kununua?
   
 4. K

  Kinombo JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni tabu tupu ndoo sasa ni tzs 300
   
 5. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  mitsubish canter ,inafaa na engine ni nzuri.e.g Fuso ni model ya mitsubish na tumeona jinsi ilivyokubalika Tz ktk secta ya ubebaji mizigo.
   
Loading...