Zantel Ni Waongo? Hawana Maadili ya Biashara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zantel Ni Waongo? Hawana Maadili ya Biashara?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Lyambaa, Mar 3, 2011.

 1. L

  Lyambaa Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kampuni ya simu ya zantel kila ukinunua muda wa maongezi wanatuma msg ya ofa ya muda wa kuongea kulingana na pesa yako. Jana tarehe 2/3/2011 niliongeza sh. 5,000 kwenye simu yangu. Ilikuwa na sh.1,070 kabla, ikaongezeka na salio likasomeka ni sh. 6,070. Wakatuma msg na ninanukuu " Nd. Mteja umepata 1,000 Tsh kama bonus ya muda wa maongezi inapaswa itumike 03/08/2011." Mwisho wa kunukuu. Leo tarehe 3/3/2011 nimepiga simu kwa mtu mwenye line ya zantel na kuonge kwa dakika 1:42 Kuangalia salio nikakuta ni sh. 5926. Sasa najiuliza, hiyo dakika 1 sekunde 42 zantel kwenda zantel imegharimu sh. 1,144? Kumbuka sh. 1,000 ni bonus. Ina maana kila sekunde imenigharimu sh. 11.22? Hali hii sio mara ya kwanza kunitokea. Naomba kueleweshwa kuhusu hizi bonus.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hii mitandao we acha tu. Niliweka buku kwenye tigo, nimefungua page ya kwanza ya yahoo hela yote imeenda na hapo hapo nikawa disconnected.
   
 3. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  6070-5926=144
   
 4. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hapo bado ofa ya buku ndiyo maana analalamika mkuu
   
Loading...